Ni Kweli Aavatar yangu Inatisha?

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Nimekuwa nikipata malalamiko toka kwa Baadhi ya Member kwamba Avatar yangu inawakera kwa maana haiwafurahishi sana. Natoa nafasi kwa wana JF wenye Mapenzi mema na Mimi mnishauri kama yafaa kubadilisha avatar ama la na ikiwezekana Mnitafutie Avatar.

Natanguliza Shukrani
 
Haitishi bwana! Ila inastaajabisha tu maana hiyo 'myoto' inatoka kwenye macho hayo mtoto mzuri inamfanya mtu abaki ameduwaa kidogo na kutafakari hali hiyo. Kwangu, haina ubaya.
 
if you can not express your self in an avatar then where can you?? leave the one you have it is fine..
 
wasikubabaishe hao, wewe umependa avatar keep it......asiyeipenda asiiangalie....
 
Back
Top Bottom