ni kwasababu gani korodani za mwanaume zinatofautiana ukubwa?

Kwa nionavyo mie!! Suala la korodani kuwa kubwa au ndogo si muhimu sana, chamsingi mtarimba unawezaaa!!!? na je!? kupizi ni kwa idadi na kiasi cha manii ni cha kutosha!!? kama hayo yooote yako sawa basi twende kazi!
 
Anayeongelewa hapa ni mtoto..sasa huko kupizi kunakujaje?
 
HAZOLE gfsonwin

It's normal
, and it's a good design, actually. It allows one to roll over the other easily and painlessly in those instances...

Thanks for details sasa nataka kujua ikiwa ziko suspended kwa minajil ya kuzipoza wakati wa joto, ina maana logically wanaume ndio tulipaswa kuvaa magauni??
 
Back
Top Bottom