Ni kwa vipi naweza mwamini mwanamke anayenitongoza kwamba siyo kicheche?

Chukulia kawaida tu kama ambavyo wewe ungeweza kumtongoza mwanamke. Muamuzi hapo ni wewe mwenyewe
 
Inategemea na feelings zako kwake zikoje. Kama amekutongoza, nawe unamfeel, basi TII KIU YAKO. Fanya kitu Roho yako inakuambia.
 
wadau nashukuruni sana kwa ushauri wenu japo nimechelewa kurudisha matokeo.Yule dada hakuja tena kwangu kama alivyo omba na mimi kumjibu ajigharamie mahitaji ya safari may be jibu langu lilikuwa somehow harsh na lilionyesha kutokumwamini. baada ya kipindi cha likizo kupita bila yeye kufanikiwa kuja kwangu amekaaa muda kidogo bila mawasiliano ila baadaye aliridhika kuanzisha mawasiliano ya urafiki wa kawaida usiohusisha mapenzi labda nikipata nafasi ya kutembelea mkoa anaoishi wikiend ntamtafuta nikae naye eneo zuri lisiloshawishi ngono nipate nafasi ya kumsikiliza na kumsoma psychologically. Narudia kushukuru tena kwa michango yenu mizuri, Mungu awabariki.
 
Hata mimi niliwahi kukutana na licheche nalo lilianza na gia ya kuja kuangalia tv usiku mwishoe nikalamba mzigo, baa ya miezi 5 vurugu zikaanza nikalipiga chini. Akili kumkichwa. Akikusafishia nyumba wewe ukiwa kazini utasemaje? Kwao unakujua? Utamtafutia wapi?
 
kaka weweni mtu mzima na zaidi ulikuwa ni mwalimu wake so worry not , muite na uonane nae sehemu isiyo ya faragha umsome kwanza na kwa uzoefu wa wanaume wengi wazoefu huwa tunasoma IQ ya mtu kwenye mazungumzo yasiyozidi nusu saa tu utaweza kujua kama ni pumba au mchele ila kama hakufai mpotezee hapo hapo ili asiendelee kukusumbua na pia epuka laana za wanawake za "umenichezea na kunipotezea muda wangu"
 
kukuomba umtumie nauli sidhani kama hana, nafikiri ni njia tu ya kutaka kusikia kama unamruhusu aje, sababu ukishamtumia atajua umemkubalia ombi lake ndo maana umetuma.
 
Inategemea na moyo wako kuna maswala ya kushauriwa na kuamua ndani ya moyo wako. Kwani akija kukutembelea lazima ulale nae mchunguze kwanza... tatizo v*** vyenu vinatamaa sana
 
Back
Top Bottom