Ni kwa vipi mtu anakuwa lecturer

1.Maliza First Degree ukiwa na GPA ya nguvu sio za kubipu @lst upate 4.7
2.Omba U_Tutor then utasoma Masters hapa hapa then uendelee na Phd then utakua Lecturer mpaka Full Prof.
 
Info nzuri sana hapo juu!! Swali la nyongeza je viwango vya mishahara vikoje mathalani kwa EDUCATION?
 
na nikitaka kuwa king kong....nifanye nini?..nile ndizi au mahindi
 
Wama jf naomba mnisaidie kwa anayefahamu jinsi m2 anvyoweza kufanya hadi awe lectuer chuoni

Mkuu kuna mambo mawili hapa. Idara fulani inaweza kukutaka ubaki kuwa tutorial assistant mara tu baada ya kumaliza bachelor yako. Na hii ina maana kuwa umepasua kweli hasahasa ukiwa umepata first class au upper second ya nguvu. Pili kuna ku-apply mwenyewe pale chuo husika kinapotangaza nafasi za kazi za tutoria assistant (bachelor holder), assistant lecturer (masters holder) na lecturer (PhD holder).

Info nzuri sana hapo juu!! Swali la nyongeza je viwango vya mishahara vikoje mathalani kwa EDUCATION?

Kwa walimu wa vyuo vikuu wanatumia scales za "PUTS" ambazo kwa PhD holder kwa sasa wanaanzia milion 3 na kidogo kwa masters holder ni around 2 mil na kwa bachelor holder ni milioni na kidogo. Wenye data kamili wanaweza kutupatia hapa
 
Mkuu kuna mambo mawili hapa. Idara fulani inaweza kukutaka ubaki kuwa tutorial assistant mara tu baada ya kumaliza bachelor yako. Na hii ina maana kuwa umepasua kweli hasahasa ukiwa umepata first class au upper second ya nguvu. Pili kuna ku-apply mwenyewe pale chuo husika kinapotangaza nafasi za kazi za tutoria assistant (bachelor holder), assistant lecturer (masters holder) na lecturer (PhD holder).

Kwa walimu wa vyuo vikuu wanatumia scales za "PUTS" ambazo kwa PhD holder kwa sasa wanaanzia milion 3 na kidogo kwa masters holder ni around 2 mil na kwa bachelor holder ni milioni na kidogo. Wenye data kamili wanaweza kutupatia hapa

Upo sahihi kabisa mkuu ila tu kuna tofauti ndogo ndogo za mishahara kati ya chuo kimoja na kingine,pia posho.Kwa asst lecturer anayeanza rank yake huanza kati ya 1.6m to 1.8m ila aliye kazini kwa miaka mitatu ama zaidi hufikia 2m
 
Back
Top Bottom