Ni kwa nini wanawake wanasamehe sana kuliko wanaume?

duuuhhh tusipo wasamehe..
kuna mtu atakuwa na ndoa kweli dunia hii..

hii dunia ya ssa hivi inatangaza na kuuza sex....
hiki ni kichocheo kikubwa sana kwa wanaume
(ni wanume wachache sana ambao hawaangaliage vitu kama hivyo)

Jamani sisi tusijifanye watakatifu..
wenyewe tumesha jua hawa wanume zetu wakisha mwangalia mwanamke
kasha waza mpaka nguo yake ya ndani...(labda wawe vipofu ndo taweza ku sort hili hambo kirahisi..
kwa hiyo kwa hichi cha kusema(wives wako insecure na vitu kama hivyo ) hayo ni mambo ya ziada..
sasa mambo ndo hayo huu ni mzunguko and for same reason we all contribute.

mmmhhh wanawake we are naturally soft hearted..
ndo maana tuna hili jina "MAMA" this name means a lot. we care a so much and we love to protect...
kama kweli ulikuwa unampenda mwanaume wako kwa kila garama basi haitachukua one week umemsamehe..
lakini kama mmeooana ile ya bandia ( ajili ya pesa, mali) na vitu kama hivyo mmmmhhh hapo lamba mchanga..

sio vema kwa sisi kujitukana wenyewe kwenye hili jambo..
kwa ni sisi ndo wanawake tunaoongelewa hapa..

kwa wanaume- sawa sisi ni rahisi sana ku forgive lakini ule muda wa forget na ku recorver ndo wakati mgumu kuliko yote kwetu....
na kama tusinge wasamehe hizi ndoa mbili amabazo zimebaki dunia hii zisingekuwepo....
nyie mtajifanya wataalum wa kufisha lakini sisi twajua mambo mengi sana..
nacho omba acheni kutuumiza sa babu mwajua weakness zetu na mnajua tuna moyo mwepese wa kuforgive....


peace
AD


Thanks AD. Umeongea yote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom