Ni kwa nini wanawake wanasamehe sana kuliko wanaume?

Ng'wanamashi

Member
Dec 30, 2010
9
0
Naomba mawazo yenu wana JF ni kwa nn wanawake wengi huwa wanawasamehe wapenzi wao pindi wanapowafumania tena bila shida huku wanaume inakua kazi kuwasamehe wapenzi wenu mkiwafumania?
 
wengi huwa wanaogopa nisipomsamehe nitapata wapi mwingine maana mmama mpaka ufuatwe lakini mbaba aweza kukuacha wewe kesho akapata mwingine
 
'wamama wana huruma siku zote
 
Naomba mawazo yenu wana JF ni kwa nn wanawake wengi huwa wanawasamehe wapenzi wao pindi wanapowafumania tena bila shida huku wanaume inakua kazi kuwasamehe wapenzi wenu mkiwafumania?

Wana roho ya huruma kwenye mapenzi
 
Kwenye suala la mwanamke kusamehe:Ndo tumeumbwa hivyo na roho ya huruma........
Kwenye suala la kuendelea kuwa naye hata baada ya ku-cheat sababu ndo hizo hapo chini:

1..Kuna namna tumejengwa kuwa makosa fulani akifanya mwanaume yaweza sameheka while akifanya mwanamke hayasameheki
2..Kama umeshaolewa kwa mwanamke inakuwa ngumu kumuacha hasa kama una watoto na kipato chako binafsi hakitoshi kulea watoto
3.Woga
4.Pressure ya wazazi,ndugu na washenga
5.yawezekana mwenyewe na-cheat so si issue au nimezaa nje hajui
6.He is everything to you,anawatunza kwenu,anakutunza wewe,anasomesha watoto yeye.............
7..............................................................................................................................
 
kutokujiamini,uoga wa kuanzisha huusiano mpya,fikra potofu kwamba wataniona malaya au kakosea,shetan kampitia,akiamini kwamba atabadilika na kuwa mtu mwema,huku akisahau kwamba if he cheated on her he will cheta on u pia!tu mi huo ni ulimbukeni and its not love at all!coz love means jipende ww kwanza then spred the love to others sasa ww unaona kuna moto then unasema nimevaa nguo sitaungua sana:A S confused::A S confused: while if he /she loved you lazima aku respect,saa there is no respect,trust,faithfullness and you kol zat love?maybe f$#* birds/mates only
 
Kwenye suala la mwanamke kusamehe:Ndo tumeumbwa hivyo na roho ya huruma........
Kwenye suala la kuendelea kuwa naye hata baada ya ku-cheat sababu ndo hizo hapo chini:

1..Kuna namna tumejengwa kuwa makosa fulani akifanya mwanaume yaweza sameheka while akifanya mwanamke hayasameheki
2..Kama umeshaolewa kwa mwanamke inakuwa ngumu kumuacha hasa kama una watoto na kipato chako binafsi hakitoshi kulea watoto
3.Woga
4.Pressure ya wazazi,ndugu na washenga
5.yawezekana mwenyewe na-cheat so si issue au nimezaa nje hajui
6.He is everything to you,anawatunza kwenu,anakutunza wewe,anasomesha watoto yeye.............
7..............................................................................................................................

please be my wife
 
:love::love::love::love::love::love::love::love::love: lakini kumbukeni mwanamke akitoka nje ya ndoa hakuna msamaha hakuna mwanamke awezae kutumikia wanaume wawili lakini kwa mwanaume hili linawezekana hata maandiko yanasema
 
Kamwe usidanganyike ndugu.... mwanamke hawezi kusamehe hata siku moja, bali hulipiza kimyakimya.... Ukimuona ametulia (yaani hakufuatilii tena, au haumii ukimcheat), basi ujue unayoyafanya nawe unafanyiwa tena kwa kasi sana....
 
kusamehe atasamehe ila cha moto utakiona!ahaha.
but mimi nakubaliana na michelle by also kukolezea the fact ya being insecured!
 
wengi huwa wanaogopa nisipomsamehe nitapata wapi mwingine maana mmama mpaka ufuatwe lakini mbaba aweza kukuacha wewe kesho akapata mwingine

kweli kabisa. Hasa inapotokea mwanamke anamtegemea mmewe kwa kila kitu.
Hata atiwe kidole cha macho atasamehe tu.
 
Wanawake wana roho za huruma sana na ndio wana upendo wa kweli kutoka rohoni akipenda hata iweje.....that how they are...

lakini vilevile akichukia utaomba ardhi ikumeze....
 
kweli kabisa ila pia ukikuta mwanamke mwenye roho mbaya huwa ana roho mbaya haswa.
 
duuuhhh tusipo wasamehe..
kuna mtu atakuwa na ndoa kweli dunia hii..

hii dunia ya ssa hivi inatangaza na kuuza sex....
hiki ni kichocheo kikubwa sana kwa wanaume
(ni wanume wachache sana ambao hawaangaliage vitu kama hivyo)

Jamani sisi tusijifanye watakatifu..
wenyewe tumesha jua hawa wanume zetu wakisha mwangalia mwanamke
kasha waza mpaka nguo yake ya ndani...(labda wawe vipofu ndo taweza ku sort hili hambo kirahisi..
kwa hiyo kwa hichi cha kusema(wives wako insecure na vitu kama hivyo ) hayo ni mambo ya ziada..
sasa mambo ndo hayo huu ni mzunguko and for same reason we all contribute.

mmmhhh wanawake we are naturally soft hearted..
ndo maana tuna hili jina "MAMA" this name means a lot. we care a so much and we love to protect...
kama kweli ulikuwa unampenda mwanaume wako kwa kila garama basi haitachukua one week umemsamehe..
lakini kama mmeooana ile ya bandia ( ajili ya pesa, mali) na vitu kama hivyo mmmmhhh hapo lamba mchanga..

sio vema kwa sisi kujitukana wenyewe kwenye hili jambo..
kwa ni sisi ndo wanawake tunaoongelewa hapa..

kwa wanaume- sawa sisi ni rahisi sana ku forgive lakini ule muda wa forget na ku recorver ndo wakati mgumu kuliko yote kwetu....
na kama tusinge wasamehe hizi ndoa mbili amabazo zimebaki dunia hii zisingekuwepo....
nyie mtajifanya wataalum wa kufisha lakini sisi twajua mambo mengi sana..
nacho omba acheni kutuumiza sa babu mwajua weakness zetu na mnajua tuna moyo mwepese wa kuforgive....

peace
AD
 
mie naona ndivyo ilivyo

as mwanaumme akikufumania mwanamke hata akisema amekusamehe ni utakoma haswa lazima atakurudishia na kukudharau

wanawake ndio hivyo ila ikizidi wengi wanafungua macho now a days unakitoa as unajitegemea kivyako
 
wengi huwa wanaogopa nisipomsamehe nitapata wapi mwingine maana mmama mpaka ufuatwe lakini mbaba aweza kukuacha wewe kesho akapata mwingine

sikubaliani na wewe Maty kabisa katika hili. Wanawake always ni wapole na wanahuruma sana kuliko wanaume hilo swala la kufuatwa kwani unamatatizo gani mpaka usifuatwe Mary??? Kama uko bomba utatongozwa tu hata kama umeolewa na wanajua una mume sembuse huna mtu?? MMhhh hapa sikubaliani na wewe Maty
 
Kamwe usidanganyike ndugu.... mwanamke hawezi kusamehe hata siku moja, bali hulipiza kimyakimya.... Ukimuona ametulia (yaani hakufuatilii tena, au haumii ukimcheat), basi ujue unayoyafanya nawe unafanyiwa tena kwa kasi sana....

You are very wright Konakali tena kisasi chenyewe si kidogo ujue??
 
:love::love::love::love::love::love::love::love::love: lakini kumbukeni mwanamke akitoka nje ya ndoa hakuna msamaha hakuna mwanamke awezae kutumikia wanaume wawili lakini kwa mwanaume hili linawezekana hata maandiko yanasema

Jipe moyo utashinda
 
Back
Top Bottom