Ni Kwa Nini Rais Kikwete Na CCM Wanadharauliwa Na Kuchukiwa na Wananchi ?

I have seen the afliction of my people in Tanzania. Mwaka 2015 nawaomba wote watakaohusika na mchakato wa uchaguzi kuanzia hatua za awali wawe makini katika kupitisha majina ya wagombea Urais (Vyama vyote vya siasa vyahusika katika ombi hili). Vinginevyo tutaendelea kulalamika kizazi hata kizazi.

mbele ya rushwa unadhani hii itawezekana
 
Let us be serious! Kama rais anadharaulika, vipi kuhusu wale waliomuweka pale magogoni? Tuanze kudharau wale waliomuweka magogoni: wananchi wa tanzania. Nakumbuka jamaa mmoja alishawahi kusema kiongozi mbovu ni alama ya jamii mbovu maana alionekana bora zaidi katika watu milioni 40! Tutafakari na kuwa makini katika maamuzi yanayohusu uongozi wa nchi na si ushabeki wa aina yoyote ile. Kwa mfano mzimu mchango wake utakupa picha ya mawazo ya watanzania tulionao wa kushindwa kutambua mema na mabaya, kama watangulizi wako kiutawala wamefanya makosa badala ya kujifunza kupitia makosa hayo na kurekebisha hali unazidi kubomoa! If you can not learn from mistakes then you are a fool!Kwa nini tanzania ni masikini wakati ina kila rasilimali? Nami sijuhi! Kwa nini mlichagua awe rais? Hatujui. Maisha bora kwa kila mtanzania maana yake ni nini? Sijui. Wapi rais anatupeleka? Hatujui.If we will be in a position to select a leader based on what we want him to do for us and not on what he wants to do for us at the end be accountable for us then we are better off otherwise we will continue complaining in darkness! As a nation we need to set our priorities and all leaders should work to accomplish national priorities not an individual or political party interest!
 
I have seen the afliction of my people in Tanzania. Mwaka 2015 nawaomba wote watakaohusika na mchakato wa uchaguzi kuanzia hatua za awali wawe makini katika kupitisha majina ya wagombea Urais (Vyama vyote vya siasa vyahusika katika ombi hili). Vinginevyo tutaendelea kulalamika kizazi hata kizazi.

Kama unategemea vyama vya siasa anza kujiandaa kuwa dissapointed kuanzia leo......I thought kama unamwamini Mungu basi huyo ndiye wakumpelekea maombi yako huku wewe ukitimiza wajibu wako wa kwenda front kupinga ufisadi kwa kadri ya maongozi ya roho mtakatifu.....Agrrrrrrrrr Mungu katika utukufu wake anachukia watu wanaojiita kwa jina lake na huku aimani yao ikiwa finyu kushinda haradali......Imani bila matendo imekufa na amtumainiaye mwanadamu (vyama vya siasa na watu wake) amelaaniwa lakini heri yeye amjuaye Mungu na nguvu zake ambaye aweza kutenda zaidi ya tuwazavyo!

I for one know, I can do all things through christ (anointing) which strengthens me!
 
Naungana na wewe asilimia 100% Hakuna Rais anaye ogopa midahalo Kama huyu. Anapenda kupiga picha na mastaa Kama wakina beckham na 50 cent
Eeeeh dugu na kuwakaribisha chakula cha jioni Ikulu waqkati majukumu yaamsubiri kutekeleza. DHAIFU..... DHAIFU.....DHAIFU ile mbaya.
 
ambao hatukupoteza muda wetu kumpigia kura huyu msanii, tupo tume - relax. i never voted for this piece of loser, not once, but twice!!

just pay the price, so that next time, you don't commit same mistake.
 
Mleta thread, Ondoa kwanza chuki binafsi kwa Raisi Jakaya Kikwete na kwa kufanya hivyo itakusaidia kuwa na hitimisho lenye fikra mbadala.

Unapenda tuamini kama matatizo haya yote yameletwa na Raisi Jakaya Kikwete ndiyo maana hata thread yako imetaja jina la kikwete zaidi ya maradufu ya jina la CCM.

Ndiyo, haihitaji macho kuona matatizo tuliyonayo Tanzania, lakini chanzo chake ukiangalia kwa upana utaona chanzo chake ni uongozi uliopita kwa maana kuwa kuanzia kwa Mwalimu Nyerere mpaka kwa Mkapa.

Ndiyo, Kikwete pia kuna mambo ambayo ameyafanya na anaendelea kuyafanya ambayo yanachangia Tanzania kuendelea kuwa katika umaskini huu wa kupindukia.

Kwanza, Kusaidiwa kuingia Ikulu na kundi la watu wabinafsi na mafisadi. Pili, kuendelea kuwalinda mafisadi na kulinda maslahi yao ikiwa ni kama kuwalipa thawabu kwa kile walichomfanyia.

Mafisadi kwa sasa wanatishia hata utendaji wake inafikia kiwango hata serikali kushindwa kufanya maamuzi hata yale ya msingi kwa kuhofia misuguano na mafisadi. Ndiyo maana kuna wanasiasa wakasema ni dhaifu.

Matatizo yetu mengi yameletwa na TAA, TANU na CCM na viongozi wake.
 
Kila Mtanzania anajiuliza ni kwa nini Rais Kikwete na CCM wanadharauliwa? Hauwezi kumtaja Kikwete bila kuitaja CCM, na pia hauwezi kuitaja CCM bila kumtaja Kikwete kwa sababu, CCM ndiye mamake Kikwete, na Kikwete ndiye nyota ya CCM, kwa hiyo maovu yote yanayofanyika wote wanahusika kwa njia moja au nyingine. Rais Kikwete anadharauliwa kwa sababu zifuatazo.

1. Ni kiongozi dhaifu asiyeweza kufanya maamuzi ya aina yoyote. 2. Rais Kikwete anakumbatia mafisadi kwani mpaka leo, wezi wa rasilimali zetu kama Rostam, Chenge, Karamagi, Ngeleja, Lowassa hawajakamatwa licha ya ukweli kwamba ushahidi upo. 3. Rais Kikwete anatumia vyombo vya dola kwa maslahi yake binafsi hasa kuwakandamiza wananchi na wapinzani.anatumia polisi wkuwaua raia wasio na hatia. Mfano mzuri ni Dr. Ulimboka. 4. Rais Kikwete ndiye rais wa kwanza kuongwa suti ndani ya Ikulu ili auze nchi yake. 5. Rais Kikwete amegeuza ikulu kuwa sehemu ya kufanyia biashara, kwani hadi leo hajawahi kuitangazia umma wamiliki wa Richmond na Dowans. 6. Rais Kikwete amepanda chuki za kidini katika nchi yetu.

7. Rais Kikwete amekuwa akitumia rasilimazi zetu akizurura nje ya nchi bila kujali matatizo ya wananchi wake. 8. Ni rais wa kwanza Tanzania kujivunjia heshima kwa kutokuwa na uwezo wa kujadili mada katika anga za kimataifa. 9. Ni rais anayetumia cheo chake kuwanufaisha familia yake, hawara zake , ndugu na marafiki. 10. Ni mtu mwenye kinyongo na visasi vya hali ya juu. 11. Kuwepo kwake madarakani kumeleta matatizo makubwa ambayo taifa letu haijawahi kuyaona. 12. Ni Rais wa kwanza kufanya kazi za u-promoter [“JK Promotions”]akiwa ndani ya ikulu. Mfano ni kumpeleka Diamond Marekani.

13. Rais Kikwete na CCM wameuza rasilimali zetu, Wanyama pori, Ardhi, madini bila taifa kuambulia chochote. 14 Rais Kikwete ameleta kejeli hasa kutoka kwa majirani zetu akionekana kuwa mtu asiye na upeo wa uongozi. Rais wa Rwanda Paul Kagame aliwahi kusema kwamba, angepewa Rasilimali za Tanzania, Nchi yake ingekuwa ulaya ya Afrika.15 Rais Kikwete anathamini ngozi nyeupe (Wazungu) kuliko Watanzania anaowaongoza. Kwa mfano, Barrick Gold wamefanya unyama wa kutisha kule Tarime, lakini hadi leo ni kama vile hana muda kuwachukulia hatua hao wazungu. Wachina wanaligeuza nchi yetu kuwa dampo lao hakuna wa kuongea wala kunyanyua mdomo. 15. Serikali yake ni serikali isiyo sikivu, serikali inayopenda anasa kupita maelezo. Ni heri wanunue V8 kuliko kuwaokoa wanawake wanaojifungua
16. Ndiye Rais pekee duniani anayeweza kuzunguka akiomba omba huku akigawa dhaabu na almasi bure. Huyo ndiye JK

Napenda kufikia tamati kwa kutoa malalamiko yangu kwa MODS wa JamiiForums kwa sababu moja kuu kwamba, wao pia wanaanza kuingilia uhuru wa maoni kama Walivyo CCM. Jana nimeweka Uzi “Ikulu Imechafuka : Ni Hatari Hasa Rais Anapokuwa Promoter Wa Muziki” Ghafla huo uzi ulichakachuliwa na hatimaye kutowekaa. Hii inaonyesha kwamba hatuna tena uhuru wa maoni.Mods, tambueni kwamba, tunapigania mabadiliko. Hatutukani wala kumdhalilisha mtu, hatuna silaa. Silaa zetu ni mawazo yetu na ukweli usiofichika. Mnapoendelea kubania mawazo yetu, mjue kwamba mawazo yetu nayo yatapanuka zaidi hasa katika kutafuta mbadala wa kuyawaka bayana bila kuchakachuliwa

Hon: Member of Parliament

Leo ndio nimeamini kuwa mti wenye matunda ndio unao popolewa mawe. Na nikawa najiuliza JF members uwezo wetu wakufikiria km zamani umeishia wapi? Kwa kweli kuna haja yakuanza ku punguza wana JF members ambao hoja zao ziko shallow, na hii ni moja wapo.
 
Umesomeka mkuu,hapa hakuna Rais.
 
Leo ndio nimeamini kuwa mti wenye matunda ndio unao popolewa mawe. Na nikawa najiuliza JF members uwezo wetu wakufikiria km zamani umeishia wapi? Kwa kweli kuna haja yakuanza ku punguza wana JF members ambao hoja zao ziko shallow, na hii ni moja wapo.

Wewe ndiye wakutolewa gamba wewe
 
mleta mada unaakili sana kwani nami pia huwa najiuliza pamoja na mambo yote anayofanya jk kwa watanzania alikosea wapi mpaka wamseme vibaya? mtasema yote ila ukweli ni huu ufuatavyo:
1.wakristo hawakutaka kijengwe chuo kikuu cha UDOM kwani walitaka wahodhi vyuo vikuu ili hela za mikopo ziingie kwao
hapo utaona ni moja ya sababu ya kuchukiwa kwa kikwete na maaskofu hii ikaenda mpk kwa waumini wao.

2.mswada wa kodi kwa bidhaa zinazoingizwa kupitia tasisi za kidini hapa ndipo kikwete alipoanza kurushiwa mawe ya
matusi hakika alisakamwa mpaka ndani ya ccm. wabunge wote wakristo wa ccm na upinzani waliungana wakiongozwa
na PINDA kuukataa mswada uliowasilishwa na mh.mkulu hapa kikwete makanisa yalimwandama na mpka wakaja na
waraka elekezi wa kuchagua dk.slaa kwa kuwa ni padree. jamani tuwe waungwana mtaenda mtarudi hizi ndizo sababu
kuu JK. alipoteleza mpka anachukiwa sna zingine ni mbwembwe za kisiasa tu.
 
Hili la MODS, wahusika walipokee na kulifanyia kazi cz ni kweli thread zenye uzito wa hoja zinakuwa as if zinapitia mchakato fulani, then zinakuwa posted na ghafla zinapotea, hata kama hazina lugha ya ovyo. Honourable yuko sahihi.

Hadithi ya eti matatizo aliyaanza fulani, ni utetezi dhaifu mno. Kuongoza ni kufanya maamuzi na kuyapangia mkakati wa kuyaweka sawa hata mabovu uliyoyakuta.

Iwapo unakubali, yapo makosa, hao
wahusika wamechukuliwa hatua gani? Makosa ya zamani yanazuia kufanyiwa maamuzi sasa? Huu ndio uzito anaouzungumza Honourable.
 
Naamini hata moyoni Kikwete anaichukia CCM ndiyo maana anaielekeza kuzimu. Kikwete aweza kuwa hovyo kwa mambo mengi. Ila ni bora katika kuhakikisha CCM inafia mikononi mwake. Iwe ni kwa kusudi au bahati mbaya ukweli ni kwamba CCM itafia mikononi mwa Kikwete kutokana na kukosa visheni na hata common sense katika kuongoza. Mie huwa simlaum Kikwete ambaye udhaifu wake ulikuwa ukijulikana hata kabla ya kuwa waziri. Kwa vile watanzania ni wepesi wa kusahau walimpa kura ili ageuka balaa litakalowaamsha na kupigania haki zao. Kwa hili nampongeza mr Dhaifu. Nisichopenda kwa Kikwete ni ile hali ya kujitiatia kusema wakati ambapo alipaswa kunyamaza na kunyamaza wakati alipopaswa kusema.

Wewe na wenzako wa chama cha maandamano na migomo ndio mnaomchukia Kikwete kwa chuki zenu zisizojulikana chanzo wala mwisho! wewe sio msemaji wa wa TZ wote waliomchagua Kikwete hivyo chuki zako peleka huko kwenye chama chenu cha kikabila na kidini!!!!!
 
Kadogoo pole sana kama huoni tunayoona. Bahati mbaya sana nyinyi ndiyo mnakuwa wepesi kulia yanapowafika. Kwani wewe ni msemaji wa watz? Kama huoni nani atakusaidia? Ila ujinga unaondosheka ingawa si upofu. Ni ushauri tu. Nani kakwambia kuwa mimi ni mwanachama chochote? Ujinga mwingine!
 
Yaani umeongea kitu kizuri sana,wengi wetu tunashindwa kutoa mawazo yetu humu.
Mods lazima aelewe ili tuendelee kama nchi,lazima kuwe kuna mawazo tofauti,na ajue kwamba ili na yeye aendelee lazima aruhusu mawazo tofauti,asiendeshe mambo kisiasa.
 
kila mtanzania anajiuliza ni kwa nini rais kikwete na ccm wanadharauliwa? Hauwezi kumtaja kikwete bila kuitaja ccm, na pia hauwezi kuitaja ccm bila kumtaja kikwete kwa sababu, ccm ndiye mamake kikwete, na kikwete ndiye nyota ya ccm, kwa hiyo maovu yote yanayofanyika wote wanahusika kwa njia moja au nyingine. Rais kikwete anadharauliwa kwa sababu zifuatazo.

1. Ni kiongozi dhaifu asiyeweza kufanya maamuzi ya aina yoyote. 2. Rais kikwete anakumbatia mafisadi kwani mpaka leo, wezi wa rasilimali zetu kama rostam, chenge, karamagi, ngeleja, lowassa hawajakamatwa licha ya ukweli kwamba ushahidi upo. 3. Rais kikwete anatumia vyombo vya dola kwa maslahi yake binafsi hasa kuwakandamiza wananchi na wapinzani.anatumia polisi wkuwaua raia wasio na hatia. Mfano mzuri ni dr. Ulimboka. 4. Rais kikwete ndiye rais wa kwanza kuongwa suti ndani ya ikulu ili auze nchi yake. 5. Rais kikwete amegeuza ikulu kuwa sehemu ya kufanyia biashara, kwani hadi leo hajawahi kuitangazia umma wamiliki wa richmond na dowans. 6. Rais kikwete amepanda chuki za kidini katika nchi yetu.

7. Rais kikwete amekuwa akitumia rasilimazi zetu akizurura nje ya nchi bila kujali matatizo ya wananchi wake. 8. Ni rais wa kwanza tanzania kujivunjia heshima kwa kutokuwa na uwezo wa kujadili mada katika anga za kimataifa. 9. Ni rais anayetumia cheo chake kuwanufaisha familia yake, hawara zake , ndugu na marafiki. 10. Ni mtu mwenye kinyongo na visasi vya hali ya juu. 11. Kuwepo kwake madarakani kumeleta matatizo makubwa ambayo taifa letu haijawahi kuyaona. 12. Ni rais wa kwanza kufanya kazi za u-promoter [“jk promotions”]akiwa ndani ya ikulu. Mfano ni kumpeleka diamond marekani.

13. Rais kikwete na ccm wameuza rasilimali zetu, wanyama pori, ardhi, madini bila taifa kuambulia chochote. 14 rais kikwete ameleta kejeli hasa kutoka kwa majirani zetu akionekana kuwa mtu asiye na upeo wa uongozi. Rais wa rwanda paul kagame aliwahi kusema kwamba, angepewa rasilimali za tanzania, nchi yake ingekuwa ulaya ya afrika.15 rais kikwete anathamini ngozi nyeupe (wazungu) kuliko watanzania anaowaongoza. Kwa mfano, barrick gold wamefanya unyama wa kutisha kule tarime, lakini hadi leo ni kama vile hana muda kuwachukulia hatua hao wazungu. Wachina wanaligeuza nchi yetu kuwa dampo lao hakuna wa kuongea wala kunyanyua mdomo. 15. Serikali yake ni serikali isiyo sikivu, serikali inayopenda anasa kupita maelezo. Ni heri wanunue v8 kuliko kuwaokoa wanawake wanaojifungua
16. Ndiye rais pekee duniani anayeweza kuzunguka akiomba omba huku akigawa dhaabu na almasi bure. Huyo ndiye jk

napenda kufikia tamati kwa kutoa malalamiko yangu kwa mods wa jamiiforums kwa sababu moja kuu kwamba, wao pia wanaanza kuingilia uhuru wa maoni kama walivyo ccm. Jana nimeweka uzi “ikulu imechafuka : Ni hatari hasa rais anapokuwa promoter wa muziki” ghafla huo uzi ulichakachuliwa na hatimaye kutowekaa. Hii inaonyesha kwamba hatuna tena uhuru wa maoni.mods, tambueni kwamba, tunapigania mabadiliko. Hatutukani wala kumdhalilisha mtu, hatuna silaa. Silaa zetu ni mawazo yetu na ukweli usiofichika. Mnapoendelea kubania mawazo yetu, mjue kwamba mawazo yetu nayo yatapanuka zaidi hasa katika kutafuta mbadala wa kuyawaka bayana bila kuchakachuliwa

hon: Member of parliament

inaonekana alichokufanyia jk ni kikubwa,kakunyanganya nini mkuu?
 
Hon MP,ukiona JF haijakusaidia kuondoa chuki yako binasfi na JK mtafute Le mutuz umpe story yako akutengenezee movie.Vipi kuhusu Lovenes Mamuya bado mnabeef?
 
siyo kweli hata kidogo
 
Back
Top Bottom