Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,407
12,507
Ni dhahiri yale matarajio ya nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa umma yamegeuka matarajio hewa.

Ahadi zilikuwa hewa na sasa watu wafanye kazi hakuna nyongeza ya mshahara.

Halimashauri ya Kisarawe leo wamepata mshahara wenye nyongeza hewa.Asante sana rais wetu mpendwa mtukufu JPM.source mimi mwenyewe.
 
tuendelee kuwa watu wa kukopakopa madukani mwa wafanyabiashara mtaani...... hata wao hari si nzuri... tutumie hizohizo,wanatukopeshaaaaa,ikifika mwisho wa mwezi tunawalipa wanafata tena mzigo.. maisha yanaenda. jpm kakaza uzi..
 
Si afadhali wewe unaopata mshahara. Huko vijijini kuna watu wanapata 2000 kwa siku kama wanabahati ya kupata hivyo vibarua. Wanakunywa maji machafu, wanaishi kwenye viband, hapo bado huduma ya afya na elimu. Na wala hawana uwezo wa kutoa malalamiko yao humu jamvini. Kama tuna huruma, busara na akili ndio tunatakiwa tuwaokoe kwanza hao. Serikali iwaokoe
 
Back
Top Bottom