Ni kuhusu mtandao wa 'airtel'.

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Habari za muda huu? Naomba unijuze kama nawezapata huduma ya FREE SMS ya kujiunga katika mtandao huo, mfano wa zile za 'xtreme' au 'tano' katika mtandao wa tiGO na ntajiungaje?
Nakushukuru sana.
 
Habari za muda huu? Naomba unijuze kama nawezapata huduma ya FREE SMS ya kujiunga katika mtandao huo, mfano wa zile za 'xtreme' au 'tano' katika mtandao wa tiGO na ntajiungaje?
Nakushukuru sana.

Ukituma message 10 unapewa messages 200. Hakuna haja ya kujiunga. Wewe weka hela tuma message 10 tu, utapewa 200!
 
Back
Top Bottom