Ni kuhusu lile Jambazi la Arusha .....

Ni rahisi sana kwangu kutoa pole kwa jeshi la Polisi na familia ya askari aliyeuwa wakati ule, lakini ni ngumu na haiwezekani kabisa kwangu kuwapongeza au kuamini kuwa wameua jambazi hawana, utashi,sura,maadili wala maumbile ya kuaminiwa.
Kuna askari mmoja wa upelelezi na wenzake , naendelea kufuatilia taarifa zake, kuwa kila anapohamishiwa baada ya muda kuna kikundi cha vijana 'wake' hufuata, vijana hao hufanya shughuli za utekaji magari ili kuibia abiria na uhalifu mwingine wa kiporaji kwa kutumia silaha au wa kuaminika.
Mkuu hii mbona ni serious accusation, ila kama ni kweli itabidi uendelee kufuatilia hao/huo jama. Lakini pindi unapomaliza au kupata taarifa na evidence ya kutosha, cjui utapelekea nani ili sheria ifuatwe? Kwasababu kama wengi walivyosema hawa jama wanalindana.
PS: Hongera kwa upelelezi huu, kumbe kuna watu kama nyie wanaopenda nchi yao. Big Up
 
Ni rahisi sana kwangu kutoa pole kwa jeshi la Polisi na familia ya askari aliyeuwa wakati ule, lakini ni ngumu na haiwezekani kabisa kwangu kuwapongeza au kuamini kuwa wameua jambazi hawana, utashi,sura,maadili wala maumbile ya kuaminiwa.
Kuna askari mmoja wa upelelezi na wenzake , naendelea kufuatilia taarifa zake, kuwa kila anapohamishiwa baada ya muda kuna kikundi cha vijana 'wake' hufuata, vijana hao hufanya shughuli za utekaji magari ili kuibia abiria na uhalifu mwingine wa kiporaji kwa kutumia silaha au wa kuaminika.

Mfuatilie na ikibidi umripoti sehemu husika ili hatua kali za kinidhamu zichukue mkondo kwa askari wenye tabia kama hiyo. Pamoja na hayo huwezi kulituhumu Jeshi zima la Polisi kwa kosa la askari mmoja au kikundi cha watu wasio waaminifu.
 
Ni kweli sasa hivi nimepita maeneo ya Polisi kituo kikuu na kuna watu wengi mno, katika kuuliza wamedai kua ni kweli lile jambazi sugu lililokua linatafutwa hatimaye limeuwawa na sasa ninavyoongea watu wanaelekea maeneo ya hospitali ya Mount Meru Mochwari kulihakiki. Welldone jeshi la polisi.
Unawapongeza kwa kusimamia vema utawala wa sheria au? Kama ndiye muuaji au siye nani alipaswa kumhukumu?
 
nimechek video ya huyo jambazi sura ya jambazi inafanana na waliomzunguka kumwangalia yaani wote sura zao ni za kijambazijambazi kweli inatisha AR
 
Hawa polisi wakikamata silaha za majambazi hazipelekwi zote mahakamani kwa ushahidi. Nyingine wanabaki nazo kukodisha kwa vikundi vyao vya ujambazi au kubambikia watu kesi
 
Back
Top Bottom