Ni kuhusu hii combination ya CBG..

Status
Not open for further replies.

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,906
Napenda kujua zaidi kuhus uu mchepuo, tafadhar cna hata 1 kuhusu ii naomba nfafanuliwe madili yake haswa
 
Yes hapo sawa haya bada ya kumalza sasa six inakuaje mambo ya corse zake na kaz zake
 
ukipiga fresh vyuo kibao,,na course za kumwaga.mfano unaweza ukasoma MD Bugando,nursing,vet,pharmacy,agriculture,aquaculture,horticulture na course nyingine nyingi.
 
Mimi nimesoma hiyo kitu...kwanza nikuambie shule yake ni hamna kulala....kibongobongo haina options nyingi sana kozi zake nyingi ziko SUA na faculty of science hapo UD ; Ushauri wa bure..kama unaweza physics bora upige PCB (mimi sikusoma Physics O_level ndio maana sikuwa na option)...ila kama PCB haijabalance sio mbaya piga hiyo hiyo ila faulu vizuri ili uongeze chances zako....mimi nilipata skolashipu ya Medicine ng'ambo(nilipata maksi nzuri ofcoz_divison one)...ina chance nyingi sana ukitoka bongo...kuna mdau hapo juu kasema phamacy...enzi zangu CBG tulikuwa tunabaniwa kusoma phamacy sijui sasa hivi....bora umeuliza usije ukaenda kichwa kichwa ukajuta...nakushauri faulu vizuri..ukipata kuanzia division 3 ni ualimu direct..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nimekusoma general...

Duuh kwel.. Na somo gan ndo limekazwa sana (la cosa) na kwahyo ulikaza mbaya ee au ndo wale wenye vpaj maalum ww
 
ukipiga fresh vyuo kibao,,na course za kumwaga.mfano unaweza ukasoma MD Bugando,nursing,vet,pharmacy,agriculture,aquaculture,horticulture na course nyingine nyingi.

MD sidhani fani ya udactari ni PCB peke yake kwa wanaotoka form six labda kama sheria zimebadilishwa hivi karibuni ila hapo zamani kulikuwa hakuna no way out .. mkuu unataka udactari jitose PCB,
 
Bas itabdi mzee physics naiweza but pepa lilikazwa ile ile na iyo skul wamenichagua CBG sasa cjui wataruhus nbadlishe cunajua mambo ya mishen iz nna D physics
 
Jaribu kubadilisha,ila ikishindikana we piga shule,mimi nilifanya vizuri chemistry na hasa biology,sikuweka nguvu katika geography ila sio ngumu pia,kwa shule za serikali hapo ni tuition kwenda mbele,tafuta syllabus na hakikisha unapitia kila kilichomo,pitia past papers....usipofaulu hapo sijui....gud luck
 
Laah ila cdhan kama veteran ina dili sana bongo i
 
Komaa mdau,hata B.COM udsm unapata sema cha muhimu uwe umefaulu vizuri bila kuisahau BAM!Kuna swahiba wangu alisoma BCOM udsm alipata pts 5 div 1 ya CBG!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom