Ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume

Ni kosa kubwa kila saa kuandika kuhusu wanawake tu!!!!!!!!!!

kabisa kwa maana chanzo cha yote wanayoandika juu ya mwanamke ni wao wanaume...........ni kosa kubwa sana kumsema mwanamke vibaya na wwakati wewe ulizaliwa na kulelewa na mwanamke:mad::thinking:
 
kasema amechoka kulea,so angependa umlee yeye.vp gari ipo?nyumba?familia bora?pesa ya kutosha ipo? tambua yeye ni mhandisi wa mawasiliano. jitahidi umpate for good mkuu.best of luck!
Hahahahaaa mkuu hizo mbwembwe tu, tena atapanda sana BODABODA huyo, akihurumiwa sana Bajaj
 
Hahahahaaa mkuu hizo mbwembwe tu, tena atapanda sana BODABODA huyo, akihurumiwa sana Bajaj
Make it for good mkuu,mpende na mkapendane kwaajili ya kujenga future nae afurahi siwajua bado bint mdogo?Asijute japo kujifunza maisha ni muhimu.
 
Make it for good mkuu,mpende na mkapendane kwaajili ya kujenga future nae afurahi siwajua bado bint mdogo?Asijute japo kujifunza maisha ni muhimu.
Si ndio hapo, ngoma imported direct from Japan hiyo sio kitu ya Dubai wala
 
NAJARIBU KUNUKUU WAZO LA KWANZA LA MUNGU ALIPOANZISHA NDOA.


Genesis 2:18
New International Version (NIV)
[SUP]18 [/SUP]The Lord God said, “It is not good for the man to be alone. I will make a helper suitable for him.”

Genesis 2:18
King James Version (KJV)
[SUP]18 [/SUP]And the Lord God said, It is not good that the man should be alone; I will make him an help meet for him.

Genesis 2:18
Good News Translation (GNT)
[SUP]18 [/SUP]Then the Lord God said, “It is not good for the man to live alone. I will make a suitable companion to help him.”


WAZO LILIANZA BAADA YA MUNGU KUONA HAKUNA KIUMBE ALIYEMFAA ADAM MARA BAADA YA KUKAMILISHA ZOEZI LA UUMBAJI WA VIMBE VINGINE. AKAANZA ZOEZI LA KUMUUMBA MWANAMKE KUTOKA KATIKA MBAVU ZA MWANMME BAADA YA KUMPA MWANAMUME USINGIZI MZITO. WZAO LA MSINGI HAPA NI KUWA MWANAMKE NDIYE MSAIDIZI WA MWANAMME NA ANATAKIWA APATIKANE MWANAMKE AMBAYE ANAFANANA NA MWANAMUME HUSIKA. VINGINEVYO NDO HAYA MAMBO YA "NI KOSA KUBWA" NA MAJUTO MENGINE KADHAA NA LAWAMA KIBAO ZINAANZA KUTOKEA.

MUNGU WA MBINGUNI AWATANGULIE WANAOJIANDAA KUOA NA KUOLEWA ILI WAWAPATE WENZI WANAOFANANA NAO.

GOD BLESS YOU ALL.




 
ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume
ni kosa zaidi mwanamke kuishi na mwanamme unayemuhudumia kwa kila kitu
ni kosa kubwa zaidi kuishi na mwanamme asiekujali kwa lolote zaidi ya ngono

bora kuishi na kuku kuliko kuishi na mwanammetapeli na mnafiki
heshimu uzuri wako ni rasilimali toka kwa mungu alikuumba ufurahie

nawasilisha
mimi hapa



Ulipenda kuzania uko peke yako kumbe ulikuwa namba tu kati ya wengi, si ndiyo? Kama jamaa yako alikuwa anakuchanganya na wengine basi tambua alikuwa hakutaki. Usiwe na hasira kihivyo, sio kila mwanamme yuko hivyo na siyo kila mwanamke ni changudoa.
 
kabisa kwa maana chanzo cha yote wanayoandika juu ya mwanamke ni wao wanaume...........ni kosa kubwa sana kumsema mwanamke vibaya na wwakati wewe ulizaliwa na kulelewa na mwanamke:mad::thinking:

ni Kosa Kubwa Kuunga Hoja Ya "POPO"!!
 
Sio kosa kwa mwanamke kumpenda mwanaume! Ukiona mwanamke hapendi mwanamme basi ana matatizo ya kisaikolojia! Mungu ameweka upendo wa dhati kwa mwanamke! Watu wengi na hata wahubiri wanatoa tafsiri potofu kuhusu upendo kati ya mume na mke. Mwanamke ni mama na ndo mlezi namba 1 wa familia ni lazima awe ana upendo zaidi ya mwanaume! Mungu alipoona kuwa kuna tatizo la wanaume kutowapenda wake zao na kuwachukulia kama watumwa na watoto aliamua kuweka sheria na kusema,"Enyi wanaume wapendeni wake zenu" ;kadhalika alipoona ndoa zinavunjika kwa sababu ya wanawake wengi kutowaheshimu wanaume wao,akasema tena ,"Enyi wanawake watiini waume zenu". Hata ukiwaangalia watoto wadogo wale wale wakike wanakua na upendo wa kweli usiowaza ngono tu tofauti na wale wakiume ambao wanaelekeza mawazo yao kwny ngono zaidi.

Hapa tunaona kuwa upendwa wa mwanaume kwa mwanamke uliwekwa kama amri kwa sababu hakua nao , ila mwanamke hakuwa na tatizo la kupenda mumewe ,tatizo lake lilikua ni dharau yaani alikosa utii.

Kuna watu watanishangaa. Ngoja niwape mfano ; Kama una watoto wawili nyumbani halafu mmoja kati yao anazurura sana na wakati wa jioni anachelewa kurudi mpaka saa 5 usiku ni wazi kwamba utakapoweka sheria ya kuwahi kurudi nyumbani itamlenga yule anayechelewa.
Nadhani sasa mtaelewa kwamba sheria ya kupenda iliwekwa kwa mwanaume kwasababu alipungukiwa na upendo wa kweli kwa mwenzake.
 
Back
Top Bottom