Ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume

mimi ai

Member
Apr 2, 2012
89
30
ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume
ni kosa zaidi mwanamke kuishi na mwanamme unayemuhudumia kwa kila kitu
ni kosa kubwa zaidi kuishi na mwanamme asiekujali kwa lolote zaidi ya ngono

bora kuishi na kuku kuliko kuishi na mwanammetapeli na mnafiki
heshimu uzuri wako ni rasilimali toka kwa mungu alikuumba ufurahie

nawasilisha
mimi hapa
 
ni kosa kubwa kwa mwanamke kudemand mwanaume bora wakati yeye mwenyewe hana vigezo vya mwanamke bora
ni kosa kubwa kwa mwanamke kulala na mwanamke kabla ya kufunga ndoa
ni kosa kubwa kwa mwanaume kumuheshimu mwanamke ambaye ameshiriki naye ngono
ni kosa kubwa kwa wanawake kuwakandia wanaume kuwa ni wanaume suruali
 
Maandiko yanasema, Mwanamke ataambatana na mumewe na kuwa kitu kimoja. Enyi wake watiini waume zenu
Enyi waume wapendeni wake zenu.
Hapa tunapata kitu kimoja ambacho ni mwanamke na mwanamume wanaopendana na kuheshimiana.

Tunaendelea na maandiko, yanasema Mwanamume atalima kwa tabu kutafuta chakula.
Mke mwema huamka asubuhi kabla jua halijaisha na kujishuhgulisha ili kuwapa watu wa nyumbani mwake chakula.
Hapa tunapata mke na mume wanaojishughulisha kwa ajili yao na familia yao.

Maandiko hayooo.... Ibrahim na Sara wakafurahi na kucheza pamoja. Tunajifunza kuishi kwa furaha na waume zetu na sio kufurahia kuishi na kuku! Mume/mke ni bora zaidi ya viumbe wengine!
HAYO ULIYOAANDIKA WEWE MUWASILISHAJI NI UBATILI.
 
Mmmhhh MIMI AI pole sana na mbona umefika mbali sana kulikoni au yameshakukuta? Hutakiwi kujuta kwa kiasi hicho na huu ni mtazamo wako ambao si lazima uwe sahihi especially kwa hoja yako ya kwanza.Kama ni kosa mwanamke kumpenda mwanaume then mwanamke anatakiwa ampende nani au mwanamke mwenzie?
Kwa hoja yako ya pili na ya tatu hapo ni sawa.Ni hayo tu hayo mengine watakuja wengine waongezee!!!!!
 
ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume
ni kosa zaidi mwanamke kuishi na mwanamme unayemuhudumia kwa kila kitu
ni kosa kubwa zaidi kuishi na mwanamme asiekujali kwa lolote zaidi ya ngono

bora kuishi na kuku kuliko kuishi na mwanammetapeli na mnafiki
heshimu uzuri wako ni rasilimali toka kwa mungu alikuumba ufurahie

nawasilisha
mimi hapa

Nafikiria kutengeneza special strategy ya kukupata............
 
ni kosa kubwa mwanamke kumpenda mwanaume
ni kosa zaidi mwanamke kuishi na mwanamme unayemuhudumia kwa kila kitu
ni kosa kubwa zaidi kuishi na mwanamme asiekujali kwa lolote zaidi ya ngono

bora kuishi na kuku kuliko kuishi na mwanammetapeli na mnafiki
heshimu uzuri wako ni rasilimali toka kwa mungu alikuumba ufurahie

nawasilisha
mimi hapa

Pole sana kwa yaliyokusibu. Ila nahisi kuwa kosa kubwa zaidi lilikuwa kwako kwa sababu ...
1. Uliwezaje kuishi na mwanaume asiyekujali?
2. Ulikubaliaje kuishi na mwanaume unayemhudumia kwa kila kitu? Ina maana hana future huyo, kula kulala ....
3. Ulikubalije kumpenda mtu mwenye sifa hizi mbaya hapa juu?
 
Maandiko yanasema, Mwanamke ataambatana na mumewe na kuwa kitu kimoja. Enyi wake watiini waume zenu
Enyi waume wapendeni wake zenu.
Hapa tunapata kitu kimoja ambacho ni mwanamke na mwanamume wanaopendana na kuheshimiana.

Tunaendelea na maandiko, yanasema Mwanamume atalima kwa tabu kutafuta chakula.
Mke mwema huamka asubuhi kabla jua halijaisha na kujishuhgulisha ili kuwapa watu wa nyumbani mwake chakula.
Hapa tunapata mke na mume wanaojishughulisha kwa ajili yao na familia yao.

Maandiko hayooo.... Ibrahim na Sara wakafurahi na kucheza pamoja. Tunajifunza kuishi kwa furaha na waume zetu na sio kufurahia kuishi na kuku! Mume/mke ni bora zaidi ya viumbe wengine!
HAYO ULIYOAANDIKA WEWE MUWASILISHAJI NI UBATILI.
asante sana happines...., KILE IT.
 
ni kosa kubwa kwa mwanamke kudemand mwanaume bora wakati yeye mwenyewe hana vigezo vya mwanamke bora
ni kosa kubwa kwa mwanamke kulala na mwanamke kabla ya kufunga ndoa
ni kosa kubwa kwa mwanaume kumuheshimu mwanamke ambaye ameshiriki naye ngono
ni kosa kubwa kwa wanawake kuwakandia wanaume kuwa ni wanaume suruali

Naunga mkono hoja.
 
Ni kosa kubwa kulalamika hovyo hovyo kila mahali
Ni kosa kubwa kurudia kosa
Ni kosa kubwa kusubiri vitu vishuke tu kama mana itokayo mbinguni
 
Ni kosa kubwa kuwahukumu wote kwa kosa la mmoja.
TUNAFANANA HATULINGANI
 
Mkuu sijali sana mahitaji yake, mi ntakachofanya ni kumfanya yeye ndio ajitahidi kuyafuata yangu.........

kasema amechoka kulea,so angependa umlee yeye.vp gari ipo?nyumba?familia bora?pesa ya kutosha ipo? tambua yeye ni mhandisi wa mawasiliano. jitahidi umpate for good mkuu.best of luck!
 
Back
Top Bottom