Ni kosa gani kubwa ambalo mpenzi wako akifanya hutamsamehe....?

Mie nitamsamehe chochote atakachofanya kama akinipa sababu za msingi as to why amefanya hlo kosa.
 
Hebu nipe justification moja ya kuzini (si kubakwa)!
No justification at all............the only truth ni kwamba the person anayezini kakuchoka na ameamua kuwa na mtu mwingine period but not kama anataka kuendelea na wewe bado
 
mara nyingi yanayovunja ndoa ni mambo ya kijinga na yasio na msingi. hizo cheating mnazozinadi hapa wala mara nyingi hazivunji ndoa. mke anacheat, mume ana cheat na wote mnajuana lakini ndoa inaendelea vizuri. kikubwa utasikia "watoto watateseka". Tatizo hapa JF unafiki ndio mwingi kupita ukweli. wadada wanajifanya ma angel na wakaka saints. Wakati hakuna lolote. Kwenye mahusiano hakuna formula na huwezi kusema leo kua nini kitavunja ndoa yenu, mpaka yatokee yakutokea. hivyo acheni kubuni na kuhisi hapa. kifupi hakuna mwenye jibu muafaka hapa kwa swali hili.
 
Cheating peke yake siyo sababu..
The outcome ina result to dying love ambapo hupelekea ndoa kuvunjika..
 
Back
Top Bottom