Ebu fafanua hapo kwenye Nyekundu, mwaka gani hiyo Historia, Maana tokoea hii mipaka ya Africa iwekwe haijawai kubadilishwa au una-undugu na Museveni wa Uganda anaye dai kisiwa cha Kenya kuwa chake.
Arafat,
Soma historia vizuri utakuta mipaka ya nchi inayoitwa zanzibar ni kilometa 10 kuingia mainland na inaanzia Lamu, Mombasa, Tanga shuka mpaka msumbiji. Alilolisema Nonda ni sahihi kabisa mie nilikuwa nalibisha ila nilisoma article moja ya professa mwingereza sikumbuki jina mipaka ya zanzibar ni legitimate na legal kama zanzibar ikiwa kama nchi inayojitegemea wakianzisha dai UN kwa ajili ya mipaka tujiandae kulia na kusaga meno maana itakuwa ngoma nzito.