Ni Kombani, Werema (Star tv) & Wassira, Nape (TBC)

Nilimsikia itv jana usiku akitetea muswada mbovu. Kweli sikuamini kama yule ni jaji. Nitatoa machache aliyosema:
Alipoulizwa kuhusu kwanini mswada unazuia suala la muungano na mengine yasiongelewe alisema: si kweli kuwa imezuiliwa kuaongelea na akapiga bla bla nyingi za kisiasa lakini mwishoni akasema, muswada utakaporudi utakuwa na marekebisho kwa kuongeza kifungu kidogo cha tatu (sec 9(3) ambacho kitaruhusu mambo yote hayo kuongelewa. Kama muswada wa sasa unaruhusu yaongelewe kwa nini aje na marekebisho ya kuongeza hicho kifungu kidogo? Eti huyo ni jaji!
Kwenye sehemu ya sita inayohusu referendum (kura ya maoni) alisema vifungu vya adhabu vimewekwa ili kudhibiti watu wanaoweza kufanya uhuni katika mikutano kwani kufanya hivyo ni kosa la jinai....
Hapa kuna maswala mawili - kwamba kuvuruga kwenye mkutano halali ni kosa la jinai ni sawa; na tayari kuna sheria inayoshughulikia watu wa aina hiyo; penal code inajitosheleza katika hili.
Pili ni kwamba Werema ametueleza uongo wa wazi. Kifungu cha 28(2) kinasema " For the purposes of paragraph (c) of subsection (1), the referendum campaign shall be conducted by the Commission and no political party or affiliate organization to a politcal party shall participate in the campaign" na
kifungu 28(3) kinasema "A person who contravenes the provisions of subsection (2) commits an offence and shall on conviction be liable to imprisonment, without fine, for a term not exceeding two years"
Jaji anatueleza kuwa kifungu hiki kimewekwa kudhibiti watakaofanya vurugu kwenye kampeni! wakati ukweli ni kuwa kifungu hiki kinawazuia vyama vya siasa kufanya kampeni, isipokwa tume peke yake ambayo ndiyo itakuwa imeandaa katiba.
Tatizo la Werema ni kuchanganya utaalamu na siasa na hivyo kujikuta siasa imemfunga macho na ubongo. Siamini kama jaji anaweza kusema aliyosema kwenye TV.
Hivi si kuna chama cha majaji? Hatuwezi kupetition huko wakamvua huo ujaji maana hakika amewadhalilisha majaji na taaluma yao.
 
Jana nilimsikiliza Werema ITV, nimejiridhisha, he is arrogant na mbaya zaidi ni psychopath.
I was so disappointed, amemkosea adhabu shivji, mwalimu wake.amenichefua sana.

The man is a mixed personality ... Psychopath, Socialpathy,Tyrant, Dictator ... simply doesnt desereve the post!
 
sioni sasa ya kudiscuss uanachama wa werema hapa, wekeni hoja za msingi. Kama ni mwanachama wa nccr mageuzi so what?
Tujadilini hoja mfano hoja ya werema kutetea muswada taahira kama huu wa mchakato wa katiba, werema akizungumza ktk kipindi cha dk 45 usiku cha itv alisema wasomi hawajui kiingereza ndo maana hawauelewi muswada... Na anatamani kukutana na prof. Shivji ili abishane nae maana nae kafundishwa kubisha!!
Ivi kuna chuo gani nchini au oversea kinachofundisha kubisha?

chuo kikuu cha ubishi kilikuwepo enzi za mwaarimu pale hombolo dodoma kiliitwa chuo cha ma g
 
Wandugu wapendwa Hongereni na Pasaka +Muungano unao chechemea yote heri!
Mimi nimekuwa nikifuatilia kauli ya Mwanasheria Mkuu Jaji werema kwa kusema yeye siyo mwanachama wa CCM je yeye ni mwanachama wa chama gani??Mnaojua zaidi mtwambie!!
Naomba kuwakilisha!:A S 465:

Werema ni Mwanasheria asiyejua Sheria, ameteuliwa kuwa mwanasheria na wajanja kulinda maslahi yao
 
Sioni sasa ya kudiscuss uanachama wa Werema hapa, wekeni hoja za msingi. Kama ni mwanachama wa nccr mageuzi so what?
Tujadilini hoja mfano hoja ya werema kutetea muswada taahira kama huu wa mchakato wa katiba, werema akizungumza ktk kipindi cha DK 45 usiku cha itv alisema wasomi hawajui kiingereza ndo maana hawauelewi muswada... Na anatamani kukutana na Prof. Shivji ili abishane nae maana nae kafundishwa kubisha!!
Ivi kuna chuo gani nchini au oversea kinachofundisha kubisha?
Hivi huyu Werema JK kamuokota wapi? Hivi vyeo vya kupeana kwa uswahiba hivi jamani vitaifikisha nchi pabaya sana. Huyu mtu ni mbumbumbu kweli...hivi yeye anaupeo gani wa kubishana na Shivji? Hizo pumba anazoropoka kila siku mbona zinazidi kumuaibisha boss wake?
 
Nilimsikia itv jana usiku akitetea muswada mbovu. Kweli sikuamini kama yule ni jaji. Nitatoa machache aliyosema:
Alipoulizwa kuhusu kwanini mswada unazuia suala la muungano na mengine yasiongelewe alisema: si kweli kuwa imezuiliwa kuaongelea na akapiga bla bla nyingi za kisiasa lakini mwishoni akasema, muswada utakaporudi utakuwa na marekebisho kwa kuongeza kifungu kidogo cha tatu (sec 9(3) ambacho kitaruhusu mambo yote hayo kuongelewa. Kama muswada wa sasa unaruhusu yaongelewe kwa nini aje na marekebisho ya kuongeza hicho kifungu kidogo? Eti huyo ni jaji!
Kwenye sehemu ya sita inayohusu referendum (kura ya maoni) alisema vifungu vya adhabu vimewekwa ili kudhibiti watu wanaoweza kufanya uhuni katika mikutano kwani kufanya hivyo ni kosa la jinai....
Hapa kuna maswala mawili - kwamba kuvuruga kwenye mkutano halali ni kosa la jinai ni sawa; na tayari kuna sheria inayoshughulikia watu wa aina hiyo; penal code inajitosheleza katika hili.
Pili ni kwamba Werema ametueleza uongo wa wazi. Kifungu cha 28(2) kinasema " For the purposes of paragraph (c) of subsection (1), the referendum campaign shall be conducted by the Commission and no political party or affiliate organization to a politcal party shall participate in the campaign" na
kifungu 28(3) kinasema "A person who contravenes the provisions of subsection (2) commits an offence and shall on conviction be liable to imprisonment, without fine, for a term not exceeding two years"
Jaji anatueleza kuwa kifungu hiki kimewekwa kudhibiti watakaofanya vurugu kwenye kampeni! wakati ukweli ni kuwa kifungu hiki kinawazuia vyama vya siasa kufanya kampeni, isipokwa tume peke yake ambayo ndiyo itakuwa imeandaa katiba.
Tatizo la Werema ni kuchanganya utaalamu na siasa na hivyo kujikuta siasa imemfunga macho na ubongo. Siamini kama jaji anaweza kusema aliyosema kwenye TV.
Hivi si kuna chama cha majaji? Hatuwezi kupetition huko wakamvua huo ujaji maana hakika amewadhalilisha majaji na taaluma
 
Werema siyo Mjinga bali mpumbavu fulani hivi, maana hajui kama hajui, yeye siku zote anajua. there might be something wrong upstairs, either he was appointed to hold the post which he is not deserved to, or he was appointed for the interests of wakubwa wakijua ni mjinga.
 
Hivi huyu Werema JK kamuokota wapi? Hivi vyeo vya kupeana kwa uswahiba hivi jamani vitaifikisha nchi pabaya sana. Huyu mtu ni mbumbumbu kweli...hivi yeye anaupeo gani wa kubishana na Shivji? Hizo pumba anazoropoka kila siku mbona zinazidi kumuaibisha boss wake?

Ndugu zangu watanzania kwa huyu jamaa tumeliwa na atatuharia mchi kwelikweli. Aliboa sana katika Bunge.:frusty:
 
..PBZ ilikuwa benki kuu ya Zanzibar tangu 66 mpaka 2001.

..pia kabla ya kuundwa kwa TRA in 96, Zanzibar walikuwa wanajitegemea ktk ukusanyaji kodi.

..kama uchumi wa Zanzibar umeanguka basi ni kutokana na uzembe wao wenyewe. kwa muda mrefu Zanzibar walikuwa wanajiendesha bila kuingiliwa na serikali ya muungano.
 
Business Standard Reporter
25 April 2011

THE intensified price wars among mobile phone operators has adversely revenue collection in February, as collection of Value Added Tax (VAT) was short of target.

The price wars resulted into lower than expected VAT collection in February, with only 93.6 per cent or 409.3bn/- of the target collected, according to Bank of Tanzania (BoT) Monthly Economic Review of March.

The central bank attributes the collection falls to account of price wars between mobile phone companies and the power rationing.

However, a lecturer at the University of Dar es Salaam, Prof Jamidu Katima, says that the price war tells more than what the eye can see.

"If that is true then, the phone companies where overcharging us, "Prof Katima, the chairman of Energy and Water Utilities Regulatory Authority - Consumer Consultative Council (EWURA--CCC) told the 'Business Standard' in an interview.

"Or else we should look critically onto the revenue collection data to authenticate the tax drop because it defies the principle law of demand and supply," he added.

On his part, Principal Communication Officer with the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Mr Innocent Mungy also said that he could not believe that price wars were a result of a tax drop.

"What I understand is that the more the people talk the more the VAT. Call rates are charged per consumption. I don't think it's true that the competition has lowered taxes...since when more calls are made, it means more revenue," he said on Monday.

TCRA data shows that price war has increased subscribers' minutes spent from 188 minutes in last year's third quarter compared to 218 minutes of last quarter that ended in December 2010.

On other hand, the monthly money spent per user dropped from 8,908/- of third quarter to 5,849/- of last quarter. This signifies that the price war has increased time spent on the phone as tele-tariffs are low.

However, this shifted the consumers' budget line on decreasing side - hence low revenue. Yet, subscribers were attracted by low tariffs on short message services (SMS). The number of SMS sent in three months (October- December 2010) almost doubled to 680 from 453 million in the previous three months.

The average money spent per user also increased to 1,663/- in Oct-December from 1,122/- of July-September 2010, painting a picture that subscribers have spent money saved on talking to send SMS.

On cumulative basis, BoT indicates, tax revenue in the first eight months of 2010/11 amounted to 3.37trn/- (about 92 per cent of the budget estimate), while non-tax revenue reached 204.7bn/- which represents 80 per cent of the budget estimates.

Domestic revenue collection was 90.8 of per cent of the estimates or 10.3 per cent whereas in the corresponding period in 2009/10 it was 9.8 per cent of the Gross Domestic Product (GDP).
 
Mpaka Lini haya Makampuni yataendelea kutuibia? kwa Manufaa yao wenyewe? it is very furstrating VIONGOZI WANAOUCHUNGU WA NCHI WAKO WAPI?

Angalia Makampuni ya Madini yanavyotuibia sasa kila Mfadhili? watu wanachajiwa bei ghali za simu bila sababu

there is no organization
 
Mpaka Lini haya Makampuni yataendelea kutuibia? kwa Manufaa yao wenyewe? it is very furstrating VIONGOZI WANAOUCHUNGU WA NCHI WAKO WAPI?

Angalia Makampuni ya Madini yanavyotuibia sasa kila Mfadhili?

????????!!!!!!!!!!!!
 
makampuni gani yanakuibia? vat kwa makampuni ya simu inatozwa si katika matumizi ya airtime bali inatozwa pale unaponunua voucher/airtime voucher.kwahivyo kama kuna kushuka kwa vat collection basi kutakuwa na drop ya mauzo ya airtime voucher pengine kwasababu ya kupungua kwa tariff as a result ya competition iliyopo! Mhh sijaelewa lakini kitu kimoja cha msingi sana ni kwamba vat inatozwa pale mteja anaponunua voucher ya muda wa maongezi na si anapotumia ule muda wa maongezi kwa kupiga simu au kutuma sms.
 
Sasa kama watu hawaongei sana voucher watanunua za nini????
 
Back
Top Bottom