Shakazulu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 957
- 280
Wana JF,
Mimi ni mwanchama wa jamvi hili mwenye makazi nje ya Tanzania ila hivi sasa ninapanga kurudi nyumbani.
Ningependa kuelimishwa kuhusu kodi ambazo nitatakiwa kulipa endapo nitaingiza gari toka nje. Details za gari lenyewe ni hizi hapa:
Model: NISSAN X-TRAIL 2.0i SE+ 5dr Station Wagon (4X4)
Year: 2002
Engine size: 1980 cc
Price: £3,250
Country: UK
Natumaini hizi details zitatosha kupata rough estimate ya kodi nitakazotakiwa kulipa.
Natanguliza shukurani zangu