i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 290
Ahsante kwa kunielimisha sikuwa nimewahi sikia hiyo wengine hatujatembea sana bongo yetu kubwa.ipo serengeti na huwa ina-shift toka sehemu moja kwenda kwingine. Mchanga mweusi mwingi sana kwa mbali unaweza sema mlima flani. Chunguza mkuu