Ni kitu gani kinachokufurahisha katika uongozi wa mama makinda?

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,831
8,620
Mimi napenda sana anapomtaja TUNDU LISSU, utasikia LINDU LISU kaa chini.
au siku ile CDMA walivyosusia hotuba ya ya JK, yule mama nusu alitoa macho km chura.
 
Nilifurahi juzi alipokea kiingereza .....can you please arise.....(can you please stand-up) nikamuona kama vile amepigwa shoti ya umeme vile baada ya kuona amekosea!! alikuwa anawakaribisha mabalozi wakati wa hotuba ya bajeti....
 
ha ha ha ha ha ha. hata mimi nilimuona.
ila napenda zaidi akimtetea waziri mkuu akiwa amebanwa sana kwa maswali ya papo kwa papo.
 
Nilifurahi juzi alipokea kiingereza .....can you please arise.....(can you please stand-up) nikamuona kama vile amepigwa shoti ya umeme vile baada ya kuona amekosea!! alikuwa anawakaribisha mabalozi wakati wa hotuba ya bajeti....

Jamani msameheni bibi yetu kazi aliyopewa hakutegemea makuu kutoka kwa vijana wa CDM
 
kila atoapo maelekezo ya ziada e.g (majibu kwa kifupi) hamtendei haki muuliza swali kwa kusahau kuwa muuliza swali huuliza akiwakilisha makumi/maelfu kama si mamilioni ya watanzania.
 
nimefurahi alivyofunga uzio knyama, maana angewaambukiza raia kichwa butu.
 
Nilifurahi juzi alipokea kiingereza .....can you please arise.....(can you please stand-up) nikamuona kama vile amepigwa shoti ya umeme vile baada ya kuona amekosea!! alikuwa anawakaribisha mabalozi wakati wa hotuba ya bajeti....
usikariri sana yuko sawa tu..
 
usikariri sana yuko sawa tu..

Mkuu haiwezekani. Hii ilikuwa tafsiri ya moja kwa moja kutoka kwenye lugha/kabila lake na wala si kiswahili. " Tafadhali amkeni" Angetafsiri kutoka kiswahili- " Tafadhali simameni" - asingepiga nje kiasi hicho.
 
Nilifurahi juzi alipokea kiingereza .....can you please arise.....(can you please stand-up) nikamuona kama vile amepigwa shoti ya umeme vile baada ya kuona amekosea!! alikuwa anawakaribisha mabalozi wakati wa hotuba ya bajeti....

Bwa ha ha ha. Kwa kweli mama anajitahidi, ila sema tu kazi yenyewe inamzidi kimo. Viatu vya Six vinamtesa sana.
 
Mimi napenda sana anapomtaja TUNDU LISSU, utasikia LINDU LISU kaa chini.
au siku ile CDMA walivyosusia hotuba ya ya JK, yule mama nusu alitoa macho km chura.

Hili jina la TUNDU LISU lilishamshinda siku nyingi. Mara kwa mara analikosea. Nadhani huyu jamaaa anamtisha sana.
 
She is not serious. Amezidi mno kuwa shabiki wa CCM/UKADA umemharibu hajui hata kanuni za Bunge vizuri.

Nadhani hakustahili kupewa ile nafasi ila CCM walimchomeka tu pale kwa maslahi yao binafsi.
 
Back
Top Bottom