NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

ZD kachungulia kapotea. Nyamayao, MJ1, nguli, triplets wote wanapita pembeni kama hawaoni! Wapwa kaizer, Sipo, G_Porgie, Burn nk leo utafikiri wameenda likizo. Bwashee leo kakamata watu sehemu za siri. LOL! Hahaha!

na wengine tunapata kigugumizi kuongea
 
Kweli wanawake wana ako katabia sijui wanaona soniiii,sasa aibu yatoka wapi wakati ni mumeo.
Mi sijawai kuuchuna ila ipo siku ntauchuna nione kama nae atasema au kuamsha hisia za kutaka.
Ila nasikia kuna wengine akipanda na chupi maana hayuko tayari kama akipanda bila chupi manake anaitaji mchezo.
 
sasa mkeo huwa analala na jeans kama hataki?
 
Kweli wanawake wana ako katabia sijui wanaona soniiii,sasa aibu yatoka wapi wakati ni mumeo.
Mi sijawai kuuchuna ila ipo siku ntauchuna nione kama nae atasema au kuamsha hisia za kutaka.
Ila nasikia kuna wengine akipanda na chupi maana hayuko tayari kama akipanda bila chupi manake anaitaji mchezo.

du hii fomula uliyoweka ni mpya kabisa
 
hata kama hataki jeans mbona kashinda kabisa!!!! mie vijinight dress hata sivai!!!! ahahahhahahha hata kama hakuna mechi!

Tamu ya wanandoa kulala ni kulala bila kuvaa chochote. I mean meat to meat!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom