Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Kuna sababu nyingi zinazowafanya watu kutoka nje ya ndoa zao. Moja ya sababu ni kutoridhishwa na mwenza katika kufanya tendo la ndoa. Hali hii hutokea pale wanandoa wanaposhindwa kuwa wazi kwa maana ya unataka ufanyiwe nini mnapokuwa faragha. Sababu nyingine ni kutojaliana (caring).Jambo hili hutokea wanandoa wanaposhidwa kujali mambo ambayo pengine tunafikiri ni madogomadogo kwa mfano kupeana pole au hongera kwa kutenda/kutotenda jambo fulani.Hivyo tunashauriwa kuwa wazi na pia kuendelea kujifunza zaidi kuhusu mahusiano.
 
Hahahaaaa home mate umeua mazima......mi napuliza we unang'ata ndo aje sasa....

Necha inapinga kuuana....so tofauti ya Afrodenzi na Nazjaz na Chetundu ni kuwa, kwakuwa Afroo yuko singo, unajibanjulia bila kuhofu kuwekewa tego, kuchapwa makonde au kutafunwa kinyeo chako na wenye mali zao...necha haipendi.

Lakini kwa kuwa Afroo yuko single...aku, unajimegea kwa raha zako kama necha inavyotutaka, iwe gesti, chumbani ake, hotelini, kwenye garrrr ako/ake au chini ya mwembe.

Nakufuata huko geshti nijue kama unadumisha mila au unazingatia maslahi ya necha.


Necha haichagui hommie lol

Mi nadumisha mila bana...kisha nazingatia necha...
 
Hahahahahahahah lol
Haya babu nakubaliana
Na weye kidoncho tuuu
Jekama kweli umemweleza huyo
binti mdogo ukweli kwamba una mke
unadhani ye atakubali kuwa second hand clothes?

Dahhh leo nisamehe bure..

AD mwache babu alale kidogo jamani njoo tuongee sisi
 
Kwa taarifa yako, mabinti wengi siku hizi wanapenda wanaume waliooa.

1. Si wasumbufu, hamna kupigiana masimu usiku kuombana baioloji
2. Wepesi wa kugawa mshiko, wanajua hali halisi ya maisha
3. Wanajua jinsi ya kumfikisha mwanamke anapopahitaji....wako experienced

Ngoja nikalale kidogo, usiniamshe

Daaahh
Haya babu na
Wife anajua kuhusu hili
au hii ndo ile piga uwa sisemi..

Nway Leo nimekusumbua sana
kesho saa nane mchana fika pale
chini ya new mmbuyu nime book massage
kwa wale waThailand..halafu ugoro ntaokupa kesho
haujatoka China .
ok babu you sleep tight and sweet dreams..
 
Daaahh
Haya babu na
Wife anajua kuhusu hili
au hii ndo ile piga uwa sisemi..

Nway Leo nimekusumbua sana
kesho saa nane mchana fika pale
chini ya new mmbuyu nime book massage
kwa wale waThailand..halafu ugoro ntaokupa kesho
haujatoka China .
ok babu you sleep tight and sweet dreams..

Unaharibu sasa.....necha hairuhusu ugomvi, kwahiyo waifu hapaswi kumjua msaidizi wake ila msaidizi anapaswa kumjua bosi wake.......

Kesho mbona mbali....ukimalizana na Kaizer uje huku mtaa wa pili, utanikuta na mkongojo wangu.
 
Unaharibu sasa.....necha hairuhusu ugomvi, kwahiyo waifu hapaswi kumjua msaidizi wake ila msaidizi anapaswa kumjua bosi wake.......

Kesho mbona mbali....ukimalizana na Kaizer uje huku mtaa wa pili, utanikuta na mkongojo wangu.

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Kaizer (Today)​
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

wewe unao wangapi?...ni matabia mabaya tu ya mtu na kujiendekeza+ matamaa, mie nashangaaga unakuta mtu ana mke/gfnd mzuri tu but haridhiki, wanaume viumbe wa ajabu sana sana.
 
wewe unao wangapi?...ni matabia mabaya tu ya mtu na kujiendekeza+ matamaa, mie nashangaaga unakuta mtu ana mke/gfnd mzuri tu but haridhiki, wanaume viumbe wa ajabu sana sana.

Mnoko kashaingia ngoja nisepe.
 
Back
Top Bottom