Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
[h=1]Two rashers of bacon a day could kill you, experts warn[/h]
Mkuu mambo gani haya asubuhi subuhi?? yaani hata mswaki sijapiga mkuu, lakini nimezamisha kidogo.............afu huku uswahilini ni chai na andazi na ndondo ila hilo la kidhungu zaidi, la kwetu ni lile la Madaba...............(watu wa Box 2 watanielewa) but anyway sasa hivi karibu kila kitu kimeghoshiwa, nakumbuka hata Mwenyezi Mungu alipomuumba Binadamu haikuwa mpango wake ale nyama ndio maana hata digestion system zetu ni tofauti kidogo bUT kwa tamaa ya mwanadamu akalazimisha kula nyama......Nyama ni silent killer mwilini.asante kwa ukumbusho
Chai na kipande cha mhogo au kiazi kitamu.
Kwangu chai andazi na sambusa za viazi sh.50
chai na vitumbua kwetu
Nafikiri ni nyongo