Ni kipi hasaaaaaa?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kimfanyacho mwanamke kwenda kwa waganga wa kienyeji? Unakuta umekaa naye kwa muda mrefu tuu tena wachamungu ghafla anabadilika na kuanza kufanya masharti anayopewa na mganga wa kienyeji! Wakati penzi lenu zuri tu, ukimuuliza imekuaje ? hakupi jibu la msingi au ndo kichaa kimemuanza! Shetani Shindwaaaaaaaaaaaaaaa....................
 
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ni upungufu wa maarifa tu pamoja na ushauri usiofaa kutoka kwa either marafiki au baadhi ya ndugu.
 
Ni mapenzi tu, wanawake wakipenda wanapenda sana hadi wanapoteza akili ya kawaida,wanaweza kufanya kituko kwa kupenda tu!

Wanaume tunapenda kwa msimu sana, ndo maana wao wankuwa na hofu. ili amiliki moja kwa zote, ndo maana anaenda kwa mganga
 
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ni upungufu wa maarifa tu pamoja na ushauri usiofaa kutoka kwa either marafiki au baadhi ya ndugu.

Ni weli kabisa mkuu, wakishapenda wanakosa maarifa kabisa,
na kwa hilo wengi wameponzwa na kusema ni fulani kanishauri
 
Pole. But mbona hata baadhi ya wanaume huenda huko?

Unajua huko kunapelekewa na kutojiamini kwa anayependa. Yaani utakuta pamoja na kuhakikishiwa anapendwa pengine na kuolewa kabisa bado anajiona/hisi hastahili so anahisi iko siku atapinduliwa. Hii inatokana na sababu kuwa wengi tunafikiria mtu akishafall in love na wewe ndo imekwisha, kumbe kuna kazi na jukumu la kumfanya aendelee kufall na kufall juu yako siku hadi siku. Sasa Roy akishajua MJ1 amemfalia na akakubali basi anadhani kamaliza. Ile novelity ikishaisha anarelax life go back to normal hata kama wameoana badala ya kuwa wabunifu wa kufikiri ni namna gani wataendelea ku-spice up falling yao.

Sasa kwa mtu anayependa sana anahisi ah MJ1/Roy ameshanchoka na sasa hivi atatekwa na wajanja ndo anahanza kuhaha kutafuta njia mbalimbali za kukabiliana na ile hali ya kuhisi mwenzie kabadilika. Mara nyingi wapo wale ambao watakimbilia kwanza makanisani/kuokoka ile ya kuokoka kabisaaa huku wakiamini kuwa watafanikiwa kuliondoa pepo la tamaa au usaliti. Wengine hutafuta shauri mbalimbali kutoka kwa marafiki/mashoga. Iwe bahati autafutie kwa wanasaikolojia but akitafuta kwa kina Mama Hambiliki, shoga Kidawa ah ataambiwa Bagamoyo kuna kiboko cha mapenzi.
 
Imani hii mie inanishinda kabisa! Au wanalogwa na hawa waganga wajameni mmmh:A S angry:
 
Imani hii mie inanishinda kabisa! Au wanalogwa na hawa waganga wajameni mmmh:A S angry:

Kibweka tena inabidi uwe mwangalifu kama limekutokea wewe hilo kwa sababu huko kwa hao waganga nasikia yanatokea mengi tu wengine wanabakwa, wengine wanarubuniwa kuwa ili dawa ifanyekazi vizuri lazima mganga afanye mradi ni uchafu tu. Na pia tukumbuke kuwa waganga hao nao ni binadamu mkeo awezaenda kule then mganga akampenda akamroga awe mpenziwe au mkewe. Nakumbuka zamani nilikuwaga nasoma hadithi (sikumbuki ni kitabu gani) but kulikuwa na babu mganga ambaye yeye alikuwa akimpenda mteja basi anamroga harudi tena kwa mumewe.

Katika mapenzi mchawi na mganga wa mapenzi ni wapendanao wenyewe.
 
Labda ili kumdhibiti mhusika ili asikukuruke kwingine.
Ndo maana mnalishwa malimbwata...
lakini wengine wanashawishiwa na marafiki
 
Mie nina mfano halisi ambao ulimtokea mdada mmoja namfahamu fika! Yaani alikuwa ni mzuri wa umbo na sura! Na alijaaliwa saana kia akili za darasani na maisha! Ilimtokea akapelekwa na mama yake(siyo mzazi ni mlezi) kwa mganga ili boy friend wake amuoe! Yakageuka bana! Mganga akampenda na akamloga akaingia mkenge akawa habanduki kwa mganga na mganga akawa anajilia uroda anavyotaka. Mdada wa watu hata kazi akaacha na Ndugu wakaanza kujipanga jinsi ya kumuokoa lakini wapi anatoroka tuu na kukimbilia kwa Mganga wake! Mpaka kuna siku nilikutana naye hana kitu kabisa nikampa 5000/- imsaidie. Mara ya mwisho nasikia walimkamata na kumrudisha kijijini! Yaani huwa inaniuma mpaka leo. Sasa hayo yote ya nini mwanamke kukimbilia sijui bagamoyo? kwa mchapa kodi? mtu unakalia kigoda lakini miguu haikanyagi chini siyo mchezo:nono:
 
Hii nayo kali, kwani mganga naye si mtu ngoja ale uroda taaaaratibu
 
kukosa maarifa ya mungu
kutojiamini
muhusika kutoonyesdha dalili za kutulia
kujishtukia kwa mawanamke thas km sifit vile kuwa naye...mmh mimi kweli namridhisha??mwsho wa siku anaenda kwa babu punje anampe dawa!!!!!!
polen bt 2b honest WANAUME MME
LISHWA VITU VINGI SANA BILA KUJIJUA NA ivi mpo macho juu leo apa leo pale(inf) basi uko koooooooote kila mmoja anajaribu kukulisha mavi ya mende mkojo wa punda maji ya mait na mengneyo meeeeeeeng km ayo....km autak kulishwa tena ayo madudu basi mrudie mungu na uache kuwa na kolon kila kona!!!!!!!!
MUNGU ANAWAPENDA
 
Mmmmmh kichefuchefu, hikiiiiii ni kichefuchefu, jmaaniiii kichefuchefu
Nakuwa nakula hotelini tu:hurt:
 
Ndoa ya kweli yenye UPENDO wa dhati huwa na uvumilivu na huko kwa wagaga wa kienyeji siyo tiba ya kudumu kama likitokea la kutofautiana msuluhishe kwa amani. Ila kama mlikurupuka na mkaoana, hako ka dawa kakiisha utaona dunia chungu.
 
Mmmmmh kichefuchefu, hikiiiiii ni kichefuchefu, jmaaniiii kichefuchefu
Nakuwa nakula hotelini tu:hurt:
haaaaaaaaaaa wap ushachelewa!
tena wewe umelishwa mpk miguu ya funza lakin ujijui stl mnasisitiza inf iz nature.....MNAZAN NGUVU YA KUTETEA INF IS HERE TO STAY MNAIPATA WAP????hahaha polen saaana nguvu iyo mnaipata baada ya kula KASMA YAO ..hahahaha polen saaaaaaaaaaaaana jaman!!!
ata ule hotelin kuna njia nying tu za kulambishwa ile mambo....DAWA PEKEE NI KUTULIA NA WAKE ZENU la sivyo mjitayarishe kula visivyoliwa...!!!polen
 
:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Hii hali inatokea kutokana na kutojiamini kwa hao wanaoenda kwa waganga na kukosa maarifa namna ya kutunza penzi lao.
 
haaaaaaaaaaa wap ushachelewa!
tena wewe umelishwa mpk miguu ya funza lakin ujijui stl mnasisitiza inf iz nature.....MNAZAN NGUVU YA KUTETEA INF IS HERE TO STAY MNAIPATA WAP????hahaha polen saaana nguvu iyo mnaipata baada ya kula KASMA YAO ..hahahaha polen saaaaaaaaaaaaana jaman!!!
ata ule hotelin kuna njia nying tu za kulambishwa ile mambo....DAWA PEKEE NI KUTULIA NA WAKE ZENU la sivyo mjitayarishe kula visivyoliwa...!!!polen

Acha bana Rose ntashindwa kula leo , hii inamaana wanawake ni wachafu na wachafuzi saaanaaa basi ama?
 
Acha bana Rose ntashindwa kula leo , hii inamaana wanawake ni wachafu na wachafuzi saaanaaa basi ama?
haimaanish ni wachafu
wanawake ni wasafi asi unawaonaga wanavyopendeza,wanavyonukia yan km malaika
lakin pale wanapokulisha maduduwasha ili utlie hainamana kwamba ni wachafu its JUST MEDICATION PER DISEASE..HAHAHAAAAAApole na i vi jumamos ulienda KUCHAKACHUA pale kat basi nakwambia alikunywesha maji ya ch..........ni
ACHEN INF JAMAN MTULIE NA WAREMBO WENU WA ALTAREN!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom