neither of them, Vyuo vyote chenga.
neither of them, Vyuo vyote chenga.
inategemea unataka kusoma short courses au course ndefu.....kwa course ndefu kama degree au diploma hakuna kama st joseph college of engeneering and technology.....
neither of them, Vyuo vyote chenga.
Nenda Havard Marekani huko ndiko kuna elimu ya ukweli lakini inategemeana na ufaulu wako, au umekusudia vyuo vya bongo.
inategemea unataka kusoma short courses au course ndefu.....kwa course ndefu kama degree au diploma hakuna kama st joseph college of engeneering and technology.....
duu mkuu, coet hawana field ya computer tena nowdays ni CoICT mkuu upo chuo gan bwana.
St joseph ni wazuri lakini mwanafunzi anakua kama yuko shule ya msingi yaani hakuna uhuru chuoni...madaftari yana sahiswa ,watu wanaitwa majina ya mahudhurio...mwanafunzi hupati mda wa kujisomea coz vipindi vinaanza saa 2 hadi saa 11...kama wewe ni sharobaro st joseph huwezi maliza miaka 4.
sawa konkara, kweli tupu!Tanzania kiukweli hakuna chuo bora kwenye field ya teknohama kama ucc, Tatizo la ucc haitoi degree ila wanafundisha vizuri na kinatambulika, kingine wanatoa certification nyingi zenye umuhimu katika field ya teknohama kama cisco, ccna na cisa etc. Nenda watakupa maelezo zaidi.