Ni kipi ambacho alikuwa nacho Mkapa na Kikwete hana?

kwa kuongezea:

1.Mkapa alifanya biashara akiwa pahala patakatifu yaani ikulu(kumbuka ANBEM)...Kikwete akawafanya wafanyabiashara kuwa maswahiba wake wakuu

2. Mkapa alitutukana tuliokuwa na fikra tofauti naye kwa kutuita wavivu wa kufikiri na spika wake Msekwa akawaita baadhi yetu wana wivu wa kike...Kikwete ametupuuza kwa kusema kelele za mbu hazimzuii mwenye nyumba kupata usingizi

3. Mkapa alimruhusu waziri wake kutufananisha na ng'ombe, punda nk kwamba tuko tayari kula majani ili Mkapa anunuliwe gulf stream (ndege ya rais)...Kikwete anafaidi kwa matanuzi ya safari za nje kwa ndege hiyo

4. Mkapa & Co waliruhusu mtandao uibe pesa BOT(EPA scandal) ili chama chao kishinde...ushindi wa kishindo huo ndiyo umetuletea Kikwete

ukisoma hizo points hapo juu..utaona mmoja alianzisha na mwingine ameendeleza na hapo ndiyo tunafikia hitimisho kuwa shida ni mfumo na siyo watu...watu ndiyo kwa kuwa ndiyo waanzilishi wa mfumo lakini kwa nini basi wasaidiane..lengo ni kulinda mfumo maana mwisho unawanufaisha wote.

Nawakilisha!

5.Mkapa alikuwa dikteta(kumbuka yaliyowakuta akina Ulimwengu, hakielimu, jaji Kisanga n.k) na Kikwete ni Laissez-faire

Hapo kwenye red tuko pamoja 300%.
Nina zawadi yako kama utaona inakufaa. Nina wake watatu, njoo uchague mmoja uchukue, hawezi kukataa. Unless imani yako haikuruhusu kufanya hivyo! Nimezipenda sana point zako
 
Mkapa alikuwa anaongozwa na nguvu ya whisky na Kikwete anaongozwa na majini aliyoachiwa na Sheikh Yahya Hussein
 
Yote alikuwa nayo bana,, haalafu ongeza na hili pia...uelewa na uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
 
Mkapa hakuwa rais mzuri wajameni ila kwa sababu tunamlinganisha na Mkwele tunaishia kusema bora yeye.
 
kwa kuongezea:

1.Mkapa alifanya biashara akiwa pahala patakatifu yaani ikulu(kumbuka ANBEM)...Kikwete akawafanya wafanyabiashara kuwa maswahiba wake wakuu

2. Mkapa alitutukana tuliokuwa na fikra tofauti naye kwa kutuita wavivu wa kufikiri na spika wake Msekwa akawaita baadhi yetu wana wivu wa kike...Kikwete ametupuuza kwa kusema kelele za mbu hazimzuii mwenye nyumba kupata usingizi

3. Mkapa alimruhusu waziri wake kutufananisha na ng'ombe, punda nk kwamba tuko tayari kula majani ili Mkapa anunuliwe gulf stream (ndege ya rais)...Kikwete anafaidi kwa matanuzi ya safari za nje kwa ndege hiyo

4. Mkapa & Co waliruhusu mtandao uibe pesa BOT(EPA scandal) ili chama chao kishinde...ushindi wa kishindo huo ndiyo umetuletea Kikwete

ukisoma hizo points hapo juu..utaona mmoja alianzisha na mwingine ameendeleza na hapo ndiyo tunafikia hitimisho kuwa shida ni mfumo na siyo watu...watu ndiyo kwa kuwa ndiyo waanzilishi wa mfumo lakini kwa nini basi wasaidiane..lengo ni kulinda mfumo maana mwisho unawanufaisha wote.

Nawakilisha!

5.Mkapa alikuwa dikteta(kumbuka yaliyowakuta akina Ulimwengu, hakielimu, jaji Kisanga n.k) na Kikwete ni Laissez-faire

Nakubalkiana nawe mkuu 100%. kwa ufupi, mmoja gendere mwingine tumbili.
 
Mkapa alikuwa jasiri kuchukuwa maamuzi magumu na JK ni mwoga kuchukuwa maamuzi mazito yatakayowaudhi maswahiba wake.ILA WOTE NI MAFISADI, KIFUPI WOTE NI JANGA LA KITAIFA.
 
Back
Top Bottom