Ni kinvuli tu - angalia vizuri utammwona ngamia meupe wadogo

Kaka Sam

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
540
78
429730_223834864372606_1118657893_n.jpg


hii picha ilipigwa kwa juu ya ngamia wakati wa sunset
 
Mmmh imechemsha mkuu...nothing creativity or amazing about it. Hata hiyo PS haijakaa vizuri
 
Kuna ukweli wowote kuwa ngamia wanaoongozwa na ngamia mweupe bila kuwa na binadamu anayewaongoza huwa wanamilikiwa na mashetani?
 
Kaka Sam,,, ni kweli kuna Ngamia wadogo wadogo weupo kwenye hiyo picha,, ila najiuliza hivyo vigo vyeupe ndio picha na hizo kubwa nyeusi ndio vivuli?? au kinyume chake??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom