Ni kina nani walinufaika na pesa za Stimulus Package?

WAKATI TULIPOSEMA TATIZO NI MFUMO, NADHANI HATUKUELEWEKA VIZURI. ILA SEPT 1 TUTAELEWANA TU.
 
Mleta hoja... majina yao yapo humuhumu JF kwa zaifi ya miaka 8 sasa

Chambua utawaona... baadhi wako mbele kupiga vita ufisadi
 
Stimulus package!
Nchi hii imejaa wazandiki na wanafiki,eti leo kuna watu wanajifanya ndio kinara wa kupambana na wizi wa mali za umma wakati wanajijua wao ndio walikuwa vinara wa kuitafuna NCHI,si siri kila Mtanzania anajua namna awamu ya nne ilivyoibua matajiri uchwara wapiga deal kwa mgongo wa chama.
 
Naibu Waziri wa Afya
Mheshimiwa Andrew Bagagaile Kigwangallah alichukua pesa hii kwa guarantor ya WAMA ya Mama Salma JK
Alipewa Bilion 1 aokoe zao la Pamba Mwanza
Hajarudisha pesa hizi na Pamba haikununuliwa
Kama tungekuwa na serikali yeny tija asingeteuliwa serikalini
Ni kashfa kuwa na Waziri ambaye alikwapua hela za nchi
 
WAKATI TULIPOSEMA TATIZO NI MFUMO, NADHANI HATUKUELEWEKA VIZURI. ILA SEPT 1 TUTAELEWANA TU.
HATA KAMA TATIZO LINGEKUWA KWELI MFUMO, LAKINI KWA AINA YA MGOMBEA AMBAYE MLIMUWEKA ASINGEWEZA KULETA MABADILIKO YOYOTE ZAIDI YA MANUFAA YAKE BINAFSI TU. HATUWAELEWI MNAPOSEMA TATIZO NI MFUMO NA WAKATI HUO HUO MNACHUKUA MGOMBEA ALIYEKUZWA NA MFUMO MNAOSEMA HAUFAI KWA MUDA WA ZAIDI YA MIAKA 30!!! HAPO NDIPO WENYE AKILI TULISHTUKA MAPEMA SANA NA HATUKUPOTEZA KURA ZETU KUPIGIA UDANGANYIFU WA UKAWA!!
 
Wambea utawajua tu issue hapa ni pesa lkn wao wamejikuta wanamzungumzia 'mtu' na wala sio fedha au benki. Akili za watu humu ni nyembamba saaana!
 
NI AIBU KWA CHAMA KAMA CHADEMA WALIOSIFIKA KWA KUPIGA VITA UFISADI MWEMBEYANGA LIST OF SHAME, RICHMOND, LEO HAO WAMEKUWA NDO BABA ZAO NA WASHURI WAO WAKUU KWENYE SIASA. SUMAYE HAKWEPI UUZWAJI HOLELA WA MALI ZA UMA KWA MGONGO WA UBINAFSISHAJI, EDWARD HIVO HIVO, MTATWAMBIA NINI NA UKUTA (UMOJA WA KUIIBIA TANZANIA).
 
Nani alionga na kuuza nyumba za serikali?
Nani alinunua meli mbovu?
Nani aliekuwa waziri wa ujenzi uku barabara zimejengwa chini ya kiwango?
Kigwangala hapo kakwapua 1B ila uko kimya?
Chenge alieiba mpaka chenchi ya rada leo hii bado yuko ccm
Ccm (chuo cha mafisadi)
 
Ndugu zangu kama mkirejea kwenye ripoti ya CAG (2009/2010) imeonyesha blanda katika matumizi ya shilingi bilioni 48 ambazo hazijakaguliwa.

Taarifa ni kwamba CRDB is one of the beneficiaries leo wanatuambia wamepata faida.... hapana wamekuwa subsidized na pesa zetu za serikali.

Ndulu anaficha ukweli kuwa ni nani alinufaika.. Number ONE is CRDB kwani Kimei ni mwananchama wa CCM alitumika katika kuchangisha pesa za campaign ya CCM mwaka jana.. so ni mwanachama wao hai kabisa na anavizia u-gavana wa benki baada ya Ndulu.
Ndugu, CRDB zilipitia tu kukamiliahs amiamala ya watu. Lakini kwa mujibu wa makala moja ya gazeti la RAI mwaka 2010, mojawapo ya kampuni zilizonufaika na hii package ni Simon Group (wamiliki wa UDA), ambayo inanunua pamba na inamiliki vinu vya kuchambulia pamba kutoka kwa wakulima wa kanda ya ziwa. Lengo na pesa hii halikuwa baya, ilikuwa ni kufidia hasara iliyotokana na mdororo wa uchumi. Lakini kwa bahati mbaya waliofidiwa sio waliopata adha hiyo ya mdororo wa uchumi.
 
Nakubali, Wanasajiliwa, wanasoma chuo cha mafisadi (CCM) lakini waliohitimu kwenye ufisadi na kupata chaeti wanaajiriwa kwa kazi hiyo chama dumaza elimu na maendeleo (CHADEMA). Kazi yao kuwachelewesha vijana wasisome, wakae wanaitana makamanda vyuoni, wanavuta ruzuku ya serikali wanatia ndani, wanawakusanya watu wanawapeleka Umoja wa kuiibia Tanzania (UKUTA).
Hii kitu lazima ipigwe chini aisee imezidi, afadhali wanaotrain na kuwaacha kuliko wanaowatumia wahitimu
 
Subiri tarehe 01/09/2016 uone jinsi vijana walivyochoka. Woga ulishakwisha!
 
Naibu Waziri wa Afya
Mheshimiwa Andrew Bagagaile Kigwangallah alichukua pesa hii kwa guarantor ya WAMA ya Mama Salma JK
Alipewa Bilion 1 aokoe zao la Pamba Mwanza
Hajarudisha pesa hizi na Pamba haikununuliwa
Kama tungekuwa na serikali yeny tija asingeteuliwa serikalini
Ni kashfa kuwa na Waziri ambaye alikwapua hela za nchi
Hakuna waziri anayeitwa Andrew Bagagaile mkuu, au huyo ni waziri mpya?
 
Kama kweli JPM yuko serious na ahadi zake,tunaomba atuambie wananchi na hili,hela za stimulus package nani alifaidika?Tuwe wakweli jamani tumechoka kudanganywa.Kama CCM walichukuwa kwa ajili ya uchaguzi wakiri na waombe radhi.Mficha magonjwa kifo humuumbua.
Na kuhusu Kimei kuw
a Governor wa Bank of Tanzania sidhani,labda kama ni insider wa Rothschild,si unajua hiyo ni mali ya The Rothschild Dynasty(naona ni kama nimekustua hivi,hata hivyo huo ndio ukweli).Hawa ni wale wale wanaomiliki World Bank na International Monetary Fund.Hata Federal Reserve kwa akina Benanke ni mali yao.Wameshindwa Iran,China na may be very few other countries kama zipo.

Back
Top Bottom