Ni kina nani walinufaika na pesa za Stimulus Package?

Maisha Binafsi ni nini?

"CEO" wa Bank kama CRDB ni "Public Figure" na anatakiwa kuwa na mienendo sahihi ya ki-Maisha! Ni dhambi kubwa kuhalalisha UMALAYA kwa jina la "maisha binafsi"!
 
Ungehitaji majibu ya maswali yote haya ungefanya Research kwanza kabla ya kukurupuka! Kujiunga au kutokujiunga leo hakuninyimi haki ya kuchangia maoni yangu.

Lililo muhimu ni kutumia maendeleo ya TEKNoHama kuelimishana, jenga hoja kwa data na si kwa emotions za chuki. Ndio maana mimi nimeomba wadau wenye data kamili walete barazani.
 
Then next time njoo kivingine ndugu usifikiri JF ni facebook.

Mie sijakurupuka nimekuuliza hivyo nikitegemea uliyoyasema una hakika nayo. Kama hujui malengo ya Bilioni 18 zilizotolewa na CRDB kwa ajili pamba umezitajia nini? Kama uliona kuna umuhimu wa kuprove CRDB peke yake hawakupata hela bali mabenki mengine kwanini umeyataja?

Na kwanini uombe watu wengine walete data huku unawaaccuse of discussing people instead of issue wewe unazo hizo data? Don't you think wewe umetumwa?? Next time jifunze kuchangia kwanza.

CRDB CEO ni public figure na kama kweli ana afair na director wake hiyo governance issue na it should be discuss by the public and investigated. Ila huwezi kuzuia watu wasiseme nenda facebook ndugu!!!
 
Hapa tunajadili tu swal CRDB na Kimei. Ninachoogopa zaidi mimi ni kwamba inawezekani kabisa CRDB pamoja na wote wale waliofaidika na hizo hela, walizipewa ili wagawane na CCM kwa ajili ya kufadhili Uchaguzi Mkuu uliokwisha 2010. Je, ni EPA ya 2005 inajirudia?

Hebu tufanye zaidi utafiti kugundua kulikoni. Tusichukue tu "piste" moja. Tujaribu kufuangua macho zaidi tunaweza kugundua uzozo mkubwa zaidi kati ya CCM na wale woto walifaidika ni hizi hela za bure wakati mahosipitalini hakuna madawa, na pia mashuleni hakuna vitabu wala waalimu !!!
 
ni kweli kwamba CRDB CEO ni public figure na kama kweli ana afair na director wake hiyo ni governance issue. Kwa wale auditors wanajua ni jinsi gani uhusiano wao unavyoweza ku-raise conflict of interest and some how it impairs independence. for that case there is no way we can separate his personal life from his office.
 
Loooo aisee usione tuu watu kumbe ni mapapa makubwa. Aisee na kweli Mkuu we cannot leave this stone unturned lazima tujui hizo SP - Stimulus Package hizo kweli watu gani wamechukua na when was it paid back. The so called business men. Atukubali kabisa wana tufanya sisi Watanzania kama kanyaboyi.
 
Wadau naomba kujuzwa, ni akina nani au ni Makampuni gani yaliyonufaika na Stimulus Package? Maana mpaka sasa mimi binafsi sijajua ni nani amefaidika maana hata Naibu Waziri wa Fedha siku ile alipoombwa ayataje kwa majina makampuni yaliyofaidika, alitaharuki kwa Woga kama amewekewa mdomo wa bunduki usoni, na kubaki kusingizia eti ni Siri ya Benki! Kutaja majina kuna mahusiano gani na Benki! Sisi hatutaki atutajie Benki walizochukulia pesa hao waliofaidika bali atutajie Majina tu kwa mfano; Idd Yanga, Rizi-one, n.k.

Kwa mwenye fununu tunamwomba atumwagie mavituz hapa jamvini tuendelee kupata uchungu.
 
Ule ulikuwa wizi wa wazi,wala personally sioni haja ya ku-discuss such an obvious issue.
Wadau naomba kujuzwa, ni akina nani au ni Makampuni gani yaliyonufaika na Stimulus Package? Maana mpaka sasa mimi binafsi sijajua ni nani amefaidika maana hata Naibu Waziri wa Fedha siku ile alipoombwa ayataje kwa majina makampuni yaliyofaidika, alitaharuki kwa Woga kama amewekewa mdomo wa bunduki usoni, na kubaki kusingizia eti ni Siri ya Benki! Kutaja majina kuna mahusiano gani na Benki! Sisi hatutaki atutajie Benki walizochukulia pesa hao waliofaidika bali atutajie Majina tu kwa mfano; Idd Yanga, Rizi-one, n.k.

Kwa mwenye fununu tunamwomba atumwagie mavituz hapa jamvini tuendelee kupata uchungu.
 
Tanzania ni nchi ya wizi, kule Marekani makampuni yaliyopata bailout package yalikuwa yanakopeshwa sio kupewa pesa za bure, mfano kampuni ya Chrisler imeanza kurudisha hizo pesa, je waliopewa bongo watarudisha?

Viongozi wetu wanatumia ule msemo wa kiingereza unaosema during the time of crisis be aware of danger but recognize the opportunity that the crisis presents, kwa hiyo kila linapotokea tatizo viongozi wetu unakuwa mwanya wao kujineemesha. Mfano sasa hivi kuna watu wanafaidika na uuzaji wa majenerator kwa kuwa tuna mgao, na mambo mengine mengi.
 
Siri ya benki???Mbona zile ni pesa zetu walalahoi!!! Siku zao zinahesabika........ole wao!
 
Simon group
<br />
<br />
Mzee kanda ya ziwa yote imejaa miradi ya wakubwa wamejificha na kuwaachia watu ambao hawajua hata kusoma ati ndo wamilki wa hivyo miradi. Kimsingi stimulus package imeenda kuendeleza miradi yao kanda ya ziwa. Kama kuna mtu anaweza kufuatilia afanye hivyo atajua mengi zaidi.

Waanzie tabora mpka ziwani.
 
Habari wakuu,

Mweshimiwa spika wetu mama Anna Makinda; alisema kwamba makampuni yalipata hela za Stimulus package zitatajwa kwenye Bunge hili..... Mbona Kimya??????

CottonEyeJoe..
 
Naona watanzania wengi tunahangaika na vijisent vya Tegeta escrow lakini hatujiulizi kuhusu pesa zilizo kuwa zimeandaliwa kwa ajili ya kupambana na mtikisiko wa kiuchumi na kwa bahati nzuri mtikisiko haukutupata angalau bado najiuliza kama mtikisiko haukutupata basi zile pesa ziko wapi?
 
Ukumbuke pia kuwa serikali ilitenga pesa ndefu kupambana na ugonjwa wa Dengue. Hizo pesa hadi leo hazijulikani zilipo!
 
Ila Urais raha, kama mpigaji, una sehemu nyingi za kupiga. Acha Lowasa aweke hela zake zote, anajua Anachokitafuta.
 
Naona watanzania wengi tunahangaika na vijisent vya Tegeta escrow lakini hatujiulizi kuhusu pesa zilizo kuwa zimeandaliwa kwa ajili ya kupambana na mtikisiko wa kiuchumi na kwa bahati nzuri mtikisiko haukutupata angalau bado najiuliza kama mtikisiko haukutupata basi zile pesa ziko wapi?
.....nchi hii inaingia ktk matatizo ya kipumbavu sb wenye kuonyesha pa kuelekea wanakwenda kinyume nasi....pesa za economical stimulas wakati ule hao hao walitunga sheria eti isiojiwe,hata haya uharo wa ufisadi yanatokea sb yana baraka,kwani hakujua?.Huyu ni kama mtoto mtundu ambaye anawadokelea wazazi wake hela za madafu then ikigundulika anasema siyo mimi........laiti watz wangekuwa kama mimi hata chembe ya upumbavu huu ktk ardhi hii ya babu yangu isingevumiliwa.
 
Back
Top Bottom