Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

Ilikuwa hivi hivi...alipotoka JKN wakasema bora angerudi, alipokamata Ben Fisadi aka Ubinafsishaji na Uwekezwaji Wakasema bora ya Maalim maana wananchi walikuwa wanamihela mfukoni, Alipoingia FastJet sasa mnasema bora Baba wa Ufisadi Arudi...CCM hakuna Msafi Amkeni kazeni buti acheni ngeseu!!!! CCM lazima tuipige chini 2015...
 
J. K. Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Dr, Mh, Mtukufu J. Kikwete?

1. Utawala wa haki na sheria
2. Kukuza Uchumi

3. Kujali wananchi

4. Kutumia rasilimali za Nchi kwa manufaa ya wote
5. Uongozi wa ukweli na uwazi

6. Uhusiano bora wa Kimataifa
7. Kubuni mipango bora ya kukuza uchumi wa nchi
8. Kuinua elimu
9. Kuendesha Serikali kwa mujibu wa kanuni na sheria za nchi
10. Ambaye wananchi wake waliishi maisha ya Kawaida lakini ambayo hayakuwa na adha sana.
11. Aliyetumia wasomi halali katika nafasi zao za utawala
12. Ambaye ameiibia nchi hii kuliko mwingine (Kupitia: Mikataba, Ubinafisishaji, Biashara haramu n.k)
 
Bahati mbaya au nzuri hapo yupo mwalimu tuu,ila hata mwalim labda kwa ajil ya enzi zake,hawa wengine ni majanga tuu

Ila kikwete kawashinda wote ruksa na utandawazi
 
Hivi migodi ya kanda ya ziwa wameuza enzi za nani vile? alaf sasa nitarudi kwa kasi ya kimbunga.
 
Wana JF…

Nimebahatika kutembelea kijiji Fulani na kubahatika kupita kijiwe na kusikia mjadala mzito wa kisiasa za hapa nchini.. (take note ni interior hasa!); To sum up – mjadala mzima ulikua centered on the Topic:-


"NI KHERI ARUDI URAIS BENJAMIN MKAPA KULIKO UONGOZI WA JAKAYA KIKWETE"

Hio kauli hapo juu kwa Mtanzania yeyote anesimamia na kufikiria hivo – IMO inasikitisha mno! Kwamba anawaza nini?? au anaichukulia vipi hali na muelekeo mzima wa nchi na hali za wananchi??

MY STAND

Kwa Mtanzania yeyote ambae anaona bora uongozi wa Mkapa kuliko wa Jakaya ni Yule asiyetaka/kubali CHANGE; Na kutaka siku zoote wananchi kuendeshwa kana kwamba ni watoto wadogo wakichukuliwa they can not be independent on their thoughts… For the simple reason… Both Leadership epochs (Mkapa Vs Kikwete) zana cons and pros and the best thing about both epochs is that walau sasa we know what was/is happening under the carpet…. While in conjuction with the worst thing kua ni dhahiri solving them is almost impossible!!!
tatizo si MARAISI tatizo ni chain ya CCM hata akipita magufuri na mwakyembe ambao labda jamii inajaribu kutupia imani zao lakini amini nakuambia mambo yatakuwa hayahaya tena nadhani yatazidi sababu yanaendelea kukomaaa.
 
AshaDii, Kama ningewaona hao watu wakijadili na kufikia kusema walichosema, ningetumia fursa hiyo kuwapa elimu ya uraia. Utaona frustration zao zipo high mpaka kufananisha Ma vi na Mko jo, ningewaambia, "We know where we came from, but we don't know where we go" miaka zaidi ya 30 ya uongozi wa CCM ndipo tupo hapa, 2015 tuwajaribu wengine
 
Bora kikwete ameweza kuwafanya watanganyika kujielewa na hivi punde anajianda kuwapa watanganyika utanganyika wao maana walikuwa hawajielewi kuwa wao ni watanganyika na sio watanzania bara.
 
hello hbr watanzania!! kwangu mimi naona ni mitazamo finyu au kufirisika kifikra kama utaanza kuchambua maendeleo ya Rais wa awamu ya nne na awamu ya tatu kwani hata Mh Kikwete amefanya mengi na mazuri na zaidi ni kurudisha shirika la reli na mengineyo mengi tutayasema akimaliza muda hivyo kaa kimya mpaka amalize muda halafu anza uchambuzi:llama:
 
hello hbr watanzania!! kwangu mimi naona ni mitazamo finyu au kufirisika kifikra kama utaanza kuchambua maendeleo ya Rais wa awamu ya nne na awamu ya tatu kwani hata Mh Kikwete amefanya mengi na mazuri na zaidi ni kurudisha shirika la reli na mengineyo mengi tutayasema akimaliza muda hivyo kaa kimya mpaka amalize muda halafu anza uchambuzi:llama:

Nkapa kakusanya kodi na kutengeneza EPA kikwete anatengeneza barabara na madaraja. Huwezi kulinganisha mbingu na ardhi
 
Mkapa ni kichwa. Kwa madeni ambayo ameyatengeneza kikwete na hayo mabarabara unayoyasema,utagundua amefanya less than mkapa. Mkapa alikuza uchumi.
 
hello hbr watanzania!! kwangu mimi naona ni mitazamo finyu au kufirisika kifikra kama utaanza kuchambua maendeleo ya Rais wa awamu ya nne na awamu ya tatu kwani hata Mh Kikwete amefanya mengi na mjazuri na zaidi ni kurudisha shirika la reli na mengineyo mengi tutayasema akimaliza muda hivyo kaa kimya mpaka amalize muda halafu anza uchambuzi:llama:

Kiboko ya wote hao atakua prof. Anna tibaijuka tutakapompatia ridhaa ya urais 2015
 
Jasusi ... unazungumzia la Jairo hili la juzi... angalia ungozi mzima wa JK... mangapi yamekua exposed?? matatizo mangapi saizi yamekua as a result of that exposure?? Na umejiuliza hayo yoote yalokua exposed ni since when yalianza na mizizi yake iko tangled vipi?? JK yupo kwenye politics like forever - swali napenda nijue ni kwamba alijua yoote hayo, alifanya hivo kwa malengo gani kama hawezi ya solve??

Yamekuwa exposed kwa sababu zipi hasa?
Je , ni kwa sababu transperance uadilufu au ni kwa sababu ya mapigano ya kimakundi na kimasilahi miongoni mwao na kupelekea kulipuana kwa lengo la kuchafuana na kuharibiana?
Bado sielewi hapa!!
 
Mkapa ni kichwa. Kwa madeni ambayo ameyatengeneza kikwete na hayo mabarabara unayoyasema,utagundua amefanya less than mkapa. Mkapa alikuza uchumi.

Tena alikuza uchumi sana na haitatokea viongozi aliekuza uchumi Kama mkapa.

Hii ni baadhi ya mifano ninayoijua katika jitihada za Mkapa kukuza uchumi:-

1) kuwapa wazungu raslimali za kila aina ya madini kwa bei ya dola 3 kwa kila dola Mia inayozalishwa.

2)kurithishana nyumba za serikali masaki

3) kuvibinafsisha viwanda

4) kujianzishia kampuni feki za kujiengezea yeye mapato!Kama vile Meremeta, mgodi wa kiwira n.k

Haya yote hakuwahi kuyafanya Nyerere, Mwinyi na huyu wasasa Kikwete.
 
Kikwete wala hafai kabisa kuwa rais wa hii nchi. Mvivu wa mawazo, kiburi, hapendi ushauri...angekuwa rais shupavu wauza sembe wote pamoja na viongozi feki wote hapa nchini angewashikisha adabu na kutokomeza ujinga uliokithiri kila idara na sekta hapa nchini.
 
Leo tunasema bora Kikwete kuliko Magufuli,

Sipati picha rais atakayetufanya tuseme 'bora Magufuli kuliko huyu' atakuwaje.

Magufuli alisema ipo siku mtanikumbuka........Uchungu ulioje kama hii ndoto ya Magufuli itatimia?
 
Leo tunasema bora Kikwete kuliko Magufuli,

Sipati picha rais atakayetufanya tuseme 'bora Magufuli kuliko huyu' atakuwaje.

Magufuli alisema ipo siku mtanikumbuka........Uchungu ulioje kama hii ndoto ya Magufuli itatimia?
hhahahah watanzania ni watu wa ajabu sana,............
 
Back
Top Bottom