Ni kawaida khs mtindo huu wa fen?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Huwa inatokea natumia laptop feni inazupiga sana kelele inaonekana inakuwa inazunguka sana hv ni kutokana nin na uzima wa mashine hii upo kweli?
 
Fan huwa inatakiwa kuzunguka bila kelele, ikizunguka kwa speed sana ni kwamba computer yako inafanya kazi sana so processor jinsi inapata moto ndo na Fan itakavyojitahidi kupooza, kama inatoa kelele huenda kuna kitu kinaizuia isizunguke kwa uhuru, HASA vumbi, au uchafu, peleka kwa fundi akaisafishe ili izunguke vizuri, la sivyo itaua Computer (Processor)
 
thanks ntajitahd nimuone fund!
 
Huwa inatokea natumia laptop feni inazupiga sana kelele inaonekana inakuwa inazunguka sana hv ni kutokana nin na uzima wa mashine hii upo kweli?
Mashine yako ni HP? Kuna HP laptops zenye tabia hiyo na zina heat sana ni vizuri ukamuona mtaalamu aingalie zaidi
 
ofcourse ni hp compaq!
Kama inatokea mda flani baada ya kuwasha/not immediately sidhani kama kama ina tatizo zaidi ya ku heat. Jaribu ku note inachukua mda gani kuanza kupiga kelele ikiwa kwenye mazingira tofauti, mfano mezani, kitandani. Kama inaanza immediately inatakiwa kufunguliwa, cheki kama kuna vumbi au kitu chochote kinazuia feni.
 
Back
Top Bottom