Ni kawaida au huyu wangu kazidi?

Mbona akina dada mwalalamika??????Huyu ni mwanaume mmoja tu amefanya hivyo, je kwa akina dada mbona mnatufanyia hivyo na hatuleti mada hapa JF. Mkuki kwa nguruwe (this is joke).
Anyway, kipindi cha uchumba ni cha kufahamiana, sasa umemfahamu mwenzako, lako ni moja tu, VUMILIA KAMA UNAMPENDA SANA AU ACHANA NAYE KAMA HUWEZI KUVUMILIA TABIA HIZO.
 
mpe dada pole kwani huyo jamaa ni kupe, sawa tunatakiwa kushare but si kihivyo,pia kuna ladha yake pale ambapo mwanamume ndo unaongoza jahazi,sasa hata ktk mavituz jamaa litakuwa linalala tuu likisubiri kuchezewa lenyewe likinyonya vidole.pambaf kabisa
 
Binafsi iwa sipendi mtu aje na mpambe pembeni akija nae dawa ndo hiyo namega ili kesho ajuute kuja na mpambe kwenye mtoko.

Na bili pia unalipa mkuu? assume apo kuna kiti moto, ma heineken, ma redbull, maji,

I mean amekuja na wenzei watatu wanaanza kwanza na redbull kupata kasi kisha wanaingia kwen heineken wakati kiti moto inasubiriwa apo, ikija inaliwa kisha sasa ndo kazi inaanza upya wakati we unakula zako dafari lager?

kwa nini hawanywi katika rate hiyo hiyo na kinywaji icho wakiwa peke yao kama si kukomoana? manake ukimvizia siku akiwa peke yake anapeleka soda tu kwa machale au kama bia basi ni za kawaida!

sio ustaarab kabisa mkuu
 
hee jamani hao wanawake wenu ni wa wapi? mwanamke mwenye kujiheshimu hana hizo, kwani anaenda hapo hana hata 10 mfukoni?
 
hahahah mrs mi ndo nimefikiria hiyo scenario,, wapo wa ivo muulize kamanda Fidel atakwambia! LOL
 
Na bili pia unalipa mkuu? assume apo kuna kiti moto, ma heineken, ma redbull, maji,

Yaani mzazi umelenga Ikulu kabisa mle mle wapambe iwa wanakunywa vitu vya bei kali alafu kiti moto mamaa anaaenda jikoni kuagiza kilo 2 na nusu kinywaji kipo katikatika anaitwa mhudumu zungusha kama tulivyo mzee iwa inauma sana tena mno hawa watu wanafanya sio ustaraabu kabisa.
 
Hukuonaga ile ze comedy madada walitoswa mana walikuja rundo. Ila nikwambie kitu Fidel, kama bibie anakupenda hawezi kukufanyia hivyo yaani ukiona umeletewa lumbesa ujue kweli wewe ni kwenye listi ya atm..
Pole sana maana wewe unachunwa mara saluni tena hizo raundi jamani huruma..ha ha
 
hee jamani hao wanawake wenu ni wa wapi? mwanamke mwenye kujiheshimu hana hizo, kwani anaenda hapo hana hata 10 mfukoni?

Luv hao wanawake ni wa Kitanzania sijui wa Kenya na Uganda lakini wa Kitanzania wengi wao ndo tabia yao kukuchuna weeeeeeeeee hata kama umetangaza uchumba unataka kumuweka ndani lakini ndo hivyo usiombe utoke nae out sehemu kuna kuna kiti moto,chipsi kuku,spesho,mchemsho,kongoro yaani hivyo vyote vitaagizwa kwa wkt tofauti unajua nini mamaa mtarajiwa anataka kujionysha kwa mashostnino.
 
kuna demu mmoja juzkat ananipigia simu eti yuko mitaa ya home vp tuonane?, si nikaona Yes naenda kummega, nikajitwin napiga hatua kama kumi ananiambia eti yuko buffalo na rafiki yake, aaaaarrrrrgh hapo hapo nikazima simu nikapitia kilimani pale kupoza koo alone.
demu mwenyewe anagonga miller kama hana akili nzuri.!
 
Ila nikwambie kitu Fidel, kama bibie anakupenda hawezi kukufanyia hivyo yaani ukiona umeletewa lumbesa ujue kweli wewe ni kwenye listi ya atm..
Pole sana maana wewe unachunwa mara saluni tena hizo raundi jamani huruma..ha ha

Sasa utapimaje kama anakupenda swity?
Maana ukiangalia na yeye anajifanya ndo anakufeel sana mmekaa zenu pale Meeda mmezungukwa na wapambe kama wa 3 hivi yeye muda wote kwangu makiss moto moto mara aninyweshe kilaji mara atoe ulimi alambe na kung'ata sikio manjonjo kibao mara achezee ikulu dah yaani mtu mzima ndo unalowa unazidi kuteketeza ATM.
 
kuna demu mmoja juzkat ananipigia simu eti yuko mitaa ya home vp tuonane?, si nikaona Yes naenda kummega, nikajitwin napiga hatua kama kumi ananiambia eti yuko buffalo na rafiki yake, aaaaarrrrrgh hapo hapo nikazima simu nikapitia kilimani pale kupoza koo alone.
demu mwenyewe anagonga miller kama hana akili nzuri.!

Hehehehe mzee ungemwambia njoo kilimani peke yako sasa pale kuna mjengo pale? Si ungeenda kwa Msuguli pale au ungevuta mpaka Mbezi mzazi.
 
Hahahaha ingekula kwake demu kwanini asimfikishe Kibaha kabisa?
 
Hahahaha yeah wazo zuri sana hilo wale wapambe wasingeweza kujilipia nauli mpaka Kibaha au Kibamba pale.

Kibamba kuna kijiwe fulani kinaitwa camp David kulikuwa na wahudumu wazuri kweli wakike mazee....umepita siku za karibuni?
 
Sasa utapimaje kama anakupenda swity?
Maana ukiangalia na yeye anajifanya ndo anakufeel sana mmekaa zenu pale Meeda mmezungukwa na wapambe kama wa 3 hivi yeye muda wote kwangu makiss moto moto mara aninyweshe kilaji mara atoe ulimi alambe na kung'ata sikio manjonjo kibao mara achezee ikulu dah yaani mtu mzima ndo unalowa unazidi kuteketeza ATM.

Kwanini usiwe straight forward, hata wakikuona mkatili safi tu ili tabia ikome!..Tatizo lenu baadhi ya wanaume mnaendekeza hili ndo mana na mabinti wanazoea. Au labla ya kukutana unamwambia kuwa asije na rafiki zake, huna pesa za kuwagharamia..
 
Kibamba kuna kijiwe fulani kinaitwa camp David kulikuwa na wahudumu wazuri kweli wakike mazee....umepita siku za karibuni?

Sijapita itabidi j2 nizungukie iwa naishia pale Luguluni park umewahi kaa pale?
 
Yaani mzazi umelenga Ikulu kabisa mle mle wapambe iwa wanakunywa vitu vya bei kali alafu kiti moto mamaa anaaenda jikoni kuagiza kilo 2 na nusu kinywaji kipo katikatika anaitwa mhudumu zungusha kama tulivyo mzee iwa inauma sana tena mno hawa watu wanafanya sio ustaraabu kabisa.

yaani nimecheka sanaaaa, haaa cna msaada! hivi kumbe mnatesekaga hivyo?
 
Kwanini usiwe straight forward, hata wakikuona mkatili safi tu ili tabia ikome!..Tatizo lenu baadhi ya wanaume mnaendekeza hili ndo mana na mabinti wanazoea. Au labla ya kukutana unamwambia kuwa asije na rafiki zake, huna pesa za kuwagharamia..

Yeah mimi bana siku hizi mkalia balaa akija na wapambe nawaagizia lamba lamba soda.
 
kuna demu mmoja juzkat ananipigia simu eti yuko mitaa ya home vp tuonane?, si nikaona Yes naenda kummega, nikajitwin napiga hatua kama kumi ananiambia eti yuko buffalo na rafiki yake, aaaaarrrrrgh hapo hapo nikazima simu nikapitia kilimani pale kupoza koo alone.
demu mwenyewe anagonga miller kama hana akili nzuri.!

mbona sasa mnakwepa majukumu? c mnayoyataka nyie...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom