Hmaster....hakuna muda maalum kwa ajili ya tohara kwa mtoto wa kiume. Mara nyingi inashauriwa wakati mtoto bado yuko kwenye umri mdogo (chini ya miezi 6) kwani mtoto anakuwa bado hajaanza movement za kitundu na hivyo kujiumiza/kujitonesha..hii inasaidia kidonda kupona haraka na risk ya infection inapungua.
Ukichelewa hapo basi watu wengi husubiri mpaka mtoto akiwa na uelewa wa kuumia. Mara nyingi watoto hujitonesha usiku wakati wa kulala anapogeuka geuka. Sasa akiwa na ufahamu inasaidia kupunguza vitendo vya kujitonesha, as well inapunguza risk ya infection. Hapo ni umri wa miaka mi3 na nus au mi4.
mbona huwa nasikia....ukiwahi sana akiwa mdogo anakuja kuwa na kipenseli?......
mbona huwa nasikia....ukiwahi sana akiwa mdogo anakuja kuwa na kipenseli?......