Ni karibu na/au ndo SODOMA na GOMORA yenyewe?: Kizazi hiki kimeshachoka

asante ,
ila ningependa tu kusema kichwa cha thread "kizazi hiki"......................
yalikuwepo hata kizazi cha kale.. weekend njema..
inaelekea wewe ni mtendaji sana wa hayo mambo maovu. Yanavyokemewa unahisi kupoteza wafuasi. Haijalishi yako toka kizazi cha kale au la?
 
Hayo yote yatapungua au kuisha kama wanadam TUTAMWABUDU MUNGU ukweli wa KUMWABUDU, na kuziogopa adhabu za siku ya Kiyama.
 
asante ,
ila ningependa tu kusema kichwa cha thread "kizazi hiki"......................
yalikuwepo hata kizazi cha kale.. weekend njema..

Nia ya mleta thread nadhani haikuwa kuandika historia ya hayo maovu, bali hali halisi ya jamii yetu: kwamba hali ni mbaya sana. Kwa maneno mengine kuna haja ya kuchukua hatua, vinginevo huko tuendako si kuzuri ukitilia maanani utandawazi. Mambo machafu yanaenea kwa spidi kali zaidi kuliko miaka ya huko nyuma.
 
inaelekea wewe ni mtendaji sana wa hayo mambo maovu. Yanavyokemewa unahisi kupoteza wafuasi. Haijalishi yako toka kizazi cha kale au la?

ni rahisi kila mtu kujifanya mtakatifu hapa sababu hatujuani..
na we hujui chochote kuhusu mimi ... umeshindwa kujibu swali langu
sasa unajaribu kutabiri nilivyo .... Pole
 
Nia ya mleta thread nadhani haikuwa kuandika historia ya hayo maovu, bali hali halisi ya jamii yetu: kwamba hali ni mbaya sana. Kwa maneno mengine kuna haja ya kuchukua hatua, vinginevo huko tuendako si kuzuri ukitilia maanani utandawazi. Mambo machafu yanaenea kwa spidi kali zaidi kuliko miaka ya huko nyuma.

angeandika hiyo jinsi ya kuchukua hatu ningemwelewa zaidi..
kuliko mambo/ vitisho vya gharika au moto.... haya saiidii kusema hayo
 
ni rahisi kila mtu kujifanya mtakatifu hapa sababu hatujuani..
na we hujui chochote kuhusu mimi ... umeshindwa kujibu swali langu
sasa unajaribu kutabiri nilivyo .... Pole
Kujifanya mtakatifu kwa nani, ili iweje? Kama wewe unajifanya mtakatifu kwakuwa hatufahamiani, pole sana. Tengeneza njia yako
 
angeandika hiyo jinsi ya kuchukua hatu ningemwelewa zaidi..
kuliko mambo/ vitisho vya gharika au moto.... haya saiidii kusema hayo
My God! Wewe wa imani gani? Gharika na moto sio vitisho kutoka kwangu! Ebu rudia misingi ya imani yako! Inaonekana unapambana huku JF kuongeza idadi ya post lakini umesahau maisha yako ya kiimani yakiparanganyika
 
Kujifanya mtakatifu kwa nani, ili iweje? Kama wewe unajifanya mtakatifu kwakuwa hatufahamiani, pole sana. Tengeneza njia yako

hahahahah lol
unavichekesho kwa kweli hii thread ya nani?
Haueleweki mkuu.. njia yangu inakuhusu nini ...??
angalia yako mkuu..
 
My God! Wewe wa imani gani? Gharika na moto sio vitisho kutoka kwangu! Ebu rudia misingi ya imani yako! Inaonekana unapambana huku JF kuongeza idadi ya post lakini umesahau maisha yako ya kiimani yakiparanganyika

imani yangu nimejitengenezea mwenyewe
msingi wangu ni "upendo" na wewe umeiga imani ya nani?

hahahah hujui kila unapo nijibu na we unaongeza idadi ya poster .. pole mkuu..
 
hahahahah lol
unavichekesho kwa kweli hii thread ya nani?
Haueleweki mkuu.. njia yangu inakuhusu nini ...??
angalia yako mkuu..
Wewe ni msalaba mzito sana, sijui ueleweshwe kwa mbinu gani! Kuambiwa tengeneza njia yako haina maana kuwa njia yako inanihusu! Lol! Kweli ualimu ni kazi ngumu.
 
mwalimu ??? hahahahah kazi ipo...

umesema nitengeneze njia yangu.. which means njia yangu inamatatizo fulani..
ndo nikakuuliza njia yangu inakuhusu nini ? ikiwa mbaya au nzuri nini kinachokusumbua
mpaka uniambie niitengeneze....

angalia yako mwenyewe..
achana na kuwaambia watu nini cha kufanya na njia zao..
 
majibu na kauli za sikio la kufa ndio hizi!
 
na kila kukicha mwanamke anajitaidi kuvumbua mavazi yatakayomuweka mtupu zaidi ya sasa.easy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom