Ni kabila gani linaongoza kwa ushamba hapa Tanzania

Nipe kwanza tafsiri ya ushamba na tabia zake ili nijiridhise... Nipo mbeya kwa sasa

Bahati nzuri nimeishi na watu wa mbeya "chuoni" ni washamba kupindukia ... + wabishi ... sasa hawa ni wasomi je hao ambao hawakusoma sijui itakuwaje..

tafsiri yangu ya ushamba ni kujifanya unajuwa kumbe hujui na unapoolekezwa unakuwa mbishi...! kituko ni pale jamaa mmoja wa mbeya nilipkuwa chuo alikuwa akibishana na jamaa mmoja anatoka ghana.. yule jamaa wa mbeya anadai hammer inauzwa dola 1500 mpya ameona on-line kwenye yahoo.. alipoelekezwa kwa nini bei pale yahoo imetokea vile jamaa anapanda basi"anabishana kwa nguvu zote"... nikapigia mstari watu mbeya washamba..
 
acha hasira siwezi kuwa adui kwa kupasua jipu..kabila langu haliruhusu wanaume kuogeshana labda huko huko kwenu.

Hata Elton John nae mwanaume.
Kama wivu unao sidhani kama kuogesha kutakushinda. . au unazuga tu ili ubembelezwe?
 
ashanielewa..halafu wadada wa kabila lake kitandani ni kaa magogo ila mimi sitajali.kwanza ndio napenda

Kumbe kuzunguka kote kule ulitaka kujigonga?
Wanaume wanaojipendekeza na kujigonga gonga sifagilii.
 
Nimeshakwambia I DO NOT DO BATTY BOYS. . . nna uhakika humu ndani wapo batty boys wenzie, weka tangazo.

mbona unalazimisha kitu ambacho sio kweli.nenda kaogeshwe huko kama hutotosheka tuletee mafisi tupo tumengoja ..ila ujiandae kuchezea mashine kubwa
 
mbona unalazimisha kitu ambacho sio kweli.nenda kaogeshwe huko kama hutotosheka tuletee mafisi tupo tumengoja ..ila ujiandae kuchezea mashine kubwa

Ingekua sio kweli usingekua kimbelembele, that is so NOT like a real man.
 
Back
Top Bottom