Ni jinsi gani ya kujiunga na JWTZ kwa graduate

J O

Member
Apr 15, 2015
36
21
Habari zenu wakuu.. Naomba Kufahamu ni Jinsi gani nina weza kujiunga na JWTZ, mimi ni graduate nataka kulitumikia taifa kupitia JWTZ, ila sikupata nafasi ya kupitia JKT .. Je itawezekana kujiunga na JWTZ bila kupitia JKT? Au ni lazima kwanza nianzie JKT? Na pia Hua inachukua muda gani kwa graduate kupelekwa Monduli pale Tanzania Military Academy? Ningependa kufahamu...
 
lazima upitie jkt mkuu miezi sita,ukishakuwa service man kwa mda ndo zinakuja selection ya vyombo mbalimbali vya usalama,kama vile usalama wa taifa,askari wa barabaran jwtz,polisi nk......wote hao wanchukua service man and girls ambao ni graduates wa jkt kwa hyo unaweza ukawa na desire ya jwtz lakin ukachaguliwa police kutokana na vigezo ulivyonavyo unless una refa.....jwtz wanavigezo vyao pia kama huna hawawez kukuchukua ingia jkt kwanza mkuu skuiz hawaingii jwtz moja kwa moja............ukibahatika kuchaguliwa na jwtz ndo watakuchukua for further training kwa academy zao
 
mkuu ni kweli lakini hiyo dhana ni yazamani sio sasa now ni mwendo wa dili dili tuu na mlungura kwa kwenda mbele.

hupitii jkt na unakwenda upolisi jwtz usalama cjui magereza na sehem nyingine direct.

ndio maana kuna vijana wa jkt waliandamana hiv karibuni shauri ya hiyo kitu.
 
Habari zenu wakuu.. Naomba Kufahamu ni Jinsi gani nina weza kujiunga na JWTZ, mimi ni graduate nataka kulitumikia taifa kupitia JWTZ, ila sikupata nafasi ya kupitia JKT .. Je itawezekana kujiunga na JWTZ bila kupitia JKT? Au ni lazima kwanza nianzie JKT? Na pia Hua inachukua muda gani kwa graduate kupelekwa Monduli pale Tanzania Military Academy? Ningependa kufahamu...

Maswali Yako Yote Unazunguka Na Unapoteza Muda Tu Bali Ukitaka Wakuchukue Upesi Na Haraka Wewe Waahidi UTAMFUMUA Kagame.
 
  • Thanks
Reactions: J O
Kwaiyo kama huna mtu jeshini unaweza kujikuta unakua polisi au kwenye nafasi nyingine ya usalama hata kama ulitaka JWTZ...
 
C kwamba nikitendo rahisi kwamba nenda jkt, kuna utaratibu wake ili uweze ingia jkt na si mchezo, kwan sasa kuna usaili wa jkt ngazi ya wilaya ukipita unaenda ngazi ya Mkoa ambayo niya mwisho

Na si kwamba kisa ww ni graduate et lazma uende munduliii huko huwa nibahat kwenda jwtz kuna graduates weng lakini waliopata fulsa ya kwenda munduli niwachache na wanao hitim munduliii wa chache sana pia.

Kama unaingia jwtz kulitumikia taifa usiwazeee munduli kabisaaaa we nenda ukiwa na Bahat utaenda munduliii na pia kuhitimu munduliii ni bahat pia

I see .. nilidhani all graduates wanaenda Monduli kumbe sio hivyo nashukuru kwa kunipa mawazo mapya .. ikiwa kama kwenda huko ni bahati hapo nina wasiwasi wa kujiunga na jeshi ila kama ikiwa kwenda huko ni kutokana na hard working basi bila shaka nita fight kwa hiyo nafasi .. I want to be Military Officer, I want to serve my country
 
Yeah Naweza Kujiunga Na chombo chochote ila Jeshi ni my dream job nilitaka tu nifikie level flan ya elimu ambapo ninaweza kujiendesha vizur kama mambo yasipo kwenda sawa jeshini ... sasa nimamaliza pale nilipotka kufika kishure its time kufata ndoto zangu ndio maana nikaulizia jeshi kwanza .. ilikua ivyo tu,
 
Mkuu wewe ni mkurya? Mbona unaandika shure badala ya shule?
 
Hapo kama umeniacha .. Kuna Jeshi la Wataalamu?

Mkuu J O,jeshi la wataalamu ni lile linalojumuisha wahitimu wa Shahada ya Kwanza,Shahada ya Uzamili/Umahiri na Shahada ya Uzamivu. JWTZ huhitaji wa aina hiyo. Utaratibu huo ulianza 2008. Hao hawana haja ya kupitia JKT
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: J O
C kwamba nikitendo rahisi kwamba nenda jkt, kuna utaratibu wake ili uweze ingia jkt na si mchezo, kwan sasa kuna usaili wa jkt ngazi ya wilaya ukipita unaenda ngazi ya Mkoa ambayo niya mwisho

Na si kwamba kisa ww ni graduate et lazma uende munduliii huko huwa nibahat kwenda jwtz kuna graduates weng lakini waliopata fulsa ya kwenda munduli niwachache na wanao hitim munduliii wa chache sana pia.

Kama unaingia jwtz kulitumikia taifa usiwazeee munduli kabisaaaa we nenda ukiwa na Bahat utaenda munduliii na pia kuhitimu munduliii ni bahat pia

Umenena vyema Mkuu.
 
Engineering,medicine,computer science,accountancy,procurement,logistics,law,education..ndizo fani zinazohitajika jeshini.
 
Back
Top Bottom