Ni jinsi gani ya kugundua mpenzi wako kama ana mtoto nje ya ndoa?

Manumbu that is another side of the coin.... Nakubali kua maneno yako yana ukweli
Lakini bado naona dada alifanya hivyo tokana na kujua results zitakuaje...

Asha D u r right. lkn labda cha kujiuliza ni tunatafuta nini kwenye relations. manake kama unahisi huyu jamaa akiijua hii siri yangu nimeachika, bac ni bora utafute namna nzuri ya kuiwakilisha siri yako, kuliko kudhani kuwa siri hiyo haitofichuka asilani. halafu unajua sometimes kusema ukweli kunakuonesha ni jnsi gani ile hali uliyojikuta umo inakuudhi au kukufurahisha. kwa mfano huyo dada angesema (kwa namna yoyote ile ambayo angeona ingefaa) kabla hajagundulika, jamaa angeweza hata kumhurumia na kuona kuwa kumbe mpenzi wake alifanya lile kosa, limemcost na analijutia na asingependa tena atokewe na hali kama ile. kwa vile we all make mistakes, leo hii kila mtu angekuwa upande wake dhidi ya Excellent. lkn kwa kukana na baadae kukiri tayari unakuwa umeweka bahari kubwa sana ya mitazamo na maswali, ambayo majibu yake yanaweza yasipatikane kwa urahisi na yakipatikana inaweza kuwa too late.

kumbuka na shetani nae ndo atapitia hapo hapo ili kuwakwaza zaidi. angekuwa mkweli watetezi wangekuwa kibao na hata nduguze Excellent wangemsaidia. walau hapa ingekuwa 50-50 kuachika au kubaki. but as it were kwa kutokusema akajikuta kawa 100% kuachika!
 
Manumbu that is it with you guys everything has to be black and white... If only you knew how sometimes we women feel insecure kwa ajili ya maamuzi na conclusion zenu za haraka... sisemi mdada alifanya vizuri; NO! But i do understand where it is coming from, Believe me sema tu sababu Excellent aligundua mwenyewe picha ndo maana anaonekana kua he is supposed to be pitied... Tumetofautiana mawazo na utafakari sie wanadamu ndo maana kila mtu ana maamuzi tofauti na reactions tofauti in the same case... Mimi hapo tu nimemsoma mdada kua yuko so insecure, hajiamini (hata kujitambua - mana huwezi kataa mwanao) BUT bado naelewa ni kwa nini alifanya hivyo...
 
In fact ukumpenda?? acha usaniii kwani ulimkutat BIKRA?? kama sio na ni mwanamke swaafi anayeweza kukupatia mtoto pia. Ukimwona mtu anawazia ehee ana mtoto ohooo... uho ni ubinafsi kabsaaaaa na hawezi hata kuishi na watoto wa ndugu zake pia.
 
NAMALIZIA KWA KUSEMA, KILA SHETANI NA MBUYU WAKE. NADHANI HAKUWA SAHIHI KWA KIJANA EXELLENT.:dance:
 
In fact ukumpenda?? acha usaniii kwani ulimkutat BIKRA?? kama sio na ni mwanamke swaafi anayeweza kukupatia mtoto pia. Ukimwona mtu anawazia ehee ana mtoto ohooo... uho ni ubinafsi kabsaaaaa na hawezi hata kuishi na watoto wa ndugu zake pia.

Kajuni hata kama umependa but kudanganywa ni kitu kingine,heri kuwa mkweli kwenye mwanzo wa mapenzi kuliko mambo kufumuka mwishoni
 
Hayo maswali unauliza wataka tu kujustify... Simtetei but naelewa her perspective...

Excellent sababu hua tunakutana mara kwa mara jamvini ni muhimu
ujue kua kila jambo ambalo natoa mawazo hua najiweka katika hio nafasi...
mfano mzuri kabisa nikwambie... niko kwenye ndoa ya amani.. leo hii
nakuta ushahidi usio bishika kua mume wangu ana mtoto kazaa nje sitamuuliza
maana najua kwa kumuuliza nijiandae na kuvunjika amani kwa mda humo ndani
alafu pia nitake nisitake maji yameshamwagika na mtoto ndo huyo yupo...

Kwa nini nitafanya hivyo??? Moja sababu sielewi kua alivyo cheat ilikua katika
mazingira yepi na ni wakati gani, pili hajawahi nionesha mapenzi yamepungua,
tatu najua wanume wengi hutoka nje (inaniboa saana) sasa kama najua yuko
capable kwa kutoka nje kusikia ana mtoto kuna ajabu gani???nne inamaana ndo
nafungua mlango wa usumbufu na mjadala wa huyo mtoto au kuletewa kabisa
nyumbani kwangu...NDIO itaniuma saaana lakini sitalipa hilo suala priority
mana hata nifanye nini haibadiliki BUT kama ndoa ingekua purukushani na
full kudimba dimba hiyo inakua nafasi yangu ya kuachia ngazi...

i hope kwa mfano huu umenielewa Excellent
Kumbe we Ni ke
 
Back
Top Bottom