Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

Lol...Rejao si mara moja moja ukikutana na TF tunafanya kazi hiyo ya kutembelea sehemu hizo next time tuonane ukamuone Kongosho George & Dragon...
Oooh..kumbe na Kongosho atakuwepo? Basi nitajoin! lakini kama kuna yoyo na you know nyingi mimi sipawezi!
 
Navutiwa na ID's zifuatazo arabianfalcon,Russian Roullette,Gaijin,sweet lady,First lady,Husninyo,Soraya,Dena Amsi.

wengine nitaongeza baadaye.
 
Bujibuji,Washawasha,Rejao,Eiyer,Mzabzab,kongosho,Mwali,Mtambuzi,Zinduna,FaizaFoxy,MziziMkavu,.......
 
Back
Top Bottom