Thanksashadii,kaka jambazi,excellent,husninyo, na aliye wazidi wote ni MKUU SI mana hua nawaza aliwaza nn kujiita ivo
Kaka Jambazi,Mkuu wa Chuo,The Finest,Aminata 9,cheusi mangala,washawasha,mpiga zeze,Popobawa
Ukiwa jikoni ujiko muhimu kama vile Obama na David Cameroon...Watu mnapenda ujiko. . . .
Mpwa nilifikiri umeishaanza kuota ndoto za majinamizi juu ya dari...Tunako elekea watu mtaanza kutaja id zenu mbadala
teh teh wafunguke tu mkuu,mbona iko poaTunako elekea watu mtaanza kutaja id zenu mbadala
teh teh mimi kwa kwelui jina hili linanivutia RITZnimependa jina la mwenye avatar
Kumbe na wewe ni muzungu? Hii club naonaga wazungu wengi na mabraza men or watoto wa mama ndio wanakuwaiattend sana!Utamruhus asherekee mwisho wa mwaka mwambie nina complementary yake ya kuingia RUNWAY..
salutiteh teh mimi kwa kwelui jina hili linanivutia RITZ
Hilo jina la ID yako iko poa,ila najiuliza ni jina halisi au alfabeti ziliunganishwa tuKumbe na wewe ni muzungu? Hii club naonaga wazungu wengi na mabraza men or watoto wa mama ndio wanakuwaiattend sana!
Kumbe na wewe ni muzungu? Hii club naonaga wazungu wengi na mabraza men or watoto wa mama ndio wanakuwaiattend sana!
Hahahaha! Rejao watu pale wanapaogopa sana sijui kwanini aiseee nitafute banaa nikupe bata pale pale au kama vipi GEORGE & DRAGON...Kumbe na wewe ni muzungu? Hii club naonaga wazungu wengi na mabraza men or watoto wa mama ndio wanakuwaiattend sana!
Hahah..hili ni jina halisi Excellent,Hilo jina la ID yako iko poa,ila najiuliza ni jina halisi au alfabeti ziliunganishwa tu
Tunako elekea watu mtaanza kutaja id zenu mbadala
Halafu wiki hii sijakuona George & Dragon kabisa au ulikuwa umekabwa...George & Dragon je?
Uzuri unakuwa umelewa unajbu kizungu chochote kinachokuja
TF, sehemu za ukweli sana mimi huwa siendagi siku hizi! Sitaki kununua bia ya 5000 wakati kwa mangi naipata kwa 1600!! Nikitaka muziki nafungulia nyumbani kwa nguvu nacheza na my waif wangu!!Hahahaha! Rejao watu pale wanapaogopa sana sijui kwanini aiseee nitafute banaa nikupe bata pale pale au kama vipi GEORGE & DRAGON...
Mi excellent nilikuwa najiandikia,mwalimu wa kujitegemeaHahah..hili ni jina halisi Excellent,
Jina lako ndio linanikumbusha zamanii nikiwa shule ya msingi! Madaftari yangu yote yalikuwa yamejaa ID yako kwenye kila zoezi!
Lol...Rejao si mara moja moja ukikutana na TF tunafanya kazi hiyo ya kutembelea sehemu hizo next time tuonane ukamuone Kongosho George & Dragon...TF, sehemu za ukweli sana mimi huwa siendagi siku hizi! Sitaki kununua bia ya 5000 wakati kwa mangi naipata kwa 1600!! Nikitaka muziki nafungulia nyumbani kwa nguvu nacheza na my waif wangu!!