Ni jimbo gani nchini marekani linakaliwa na watanzania wengi?

...kigamboni dar es salaama hapa hakuna ulaya, ulaya ulaya...wimbo by Joni woka..
 
...kigamboni dar es salaama hapa hakuna ulaya, ulaya ulaya...wimbo by Joni woka..

Georgia,huko mpaka mama ntilie utawakuta,ukipita hata mitaani utakuta geti limeandikwa mbwa mkalii,ugali mlenda,karibu ndani,manzese na maneno kibao ya kswahili ili tu ukipita mbongo uweze kujua kua hapa kuna mbongo mwenzio.hata magari unaweza kuta lingine limeandikwa baba yako analo? Na maneno mengine kibao ya stahili hiyo.
 
Kama kitu huwelewi ni afadhali ukae kimya uache wanaofahamu wachangie, sio lazima uchangie kila kitu, Texas ndio jimbo wewe ulitaka asemeje? au unavyosoma kwenye magazeti Houston na San Antonio unadhani haya ni majimbo?
Tembeeni jamani mpate exposure sio umeganda tu Dar es salaam kama sanamu.

Mmmmh misifa tu
 
Kijana ukisukuma nondo na wewe ukubali kupokea nondo!
Wewe si umeniambia unataka kunipa kazi ya kupanda maua na kuvuna kwa mcanada. Ilo ndio jibu lake nakushauri kama roho yako ndogo usivamie mijadala kama hii haya ndio maisha ya JF, Karibu sana utazoea tu, kuna majukwaa mengi ya kutembelea

Kama FB kule kuna mabinti wa kiume nondo kidogo ana enda shtaki kwa mama
 
Kama kitu huwelewi ni afadhali ukae kimya uache wanaofahamu wachangie, sio lazima uchangie kila kitu, Texas ndio jimbo wewe ulitaka asemeje? au unavyosoma kwenye magazeti Houston na San Antonio unadhani haya ni majimbo?
Tembeeni jamani mpate exposure sio umeganda tu Dar es salaam kama sanamu.
sio lazima afike Marekani ndio awe na exposure kaka,hapo hapo States kuna watu hawajui majimbo mengine zaidi ya jimbo analokaa
 
Naona umeamua kumsemea au sijui ndio mambo ya Multiple ID's nakuomba upitie tena sheria na kanuni za JF, uzisome kwa makini sana. baadhi ya kanuni za JF, ukianzisha thread aukipost kitu ili habari yako iwe na uzito lazima uweke chanzo kama aielewiki utaikuta kwenye majukwa mengine kama vile Chit Chat au jukwaa la jokes, gossip kama mnajuana wenyewe kwa nini mnaileta hii habari JF, pelekeni kule FB. kwanza Mods toa hii porojo peleka Jokes and gossip

Si amesema hizo takwimu zimetokana na jumuia zao za Watanzania hk US au sijamuelewa?!
 
Back
Top Bottom