Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,970
Nakataa kata kata.Carlifonia
Nakataa kata kata.Carlifonia
Wewe si ndio umekejeli mtu kwamba anabaki Tanzania kama sanamu badala ya kwenda Marekani kupata exposure, kumbe exposure yenyewe kubeba maboxsi? We mwenye exposure nikuulize, "vaccation" ndio nini?Mkuu usihadaike na video za kina 50 cents, unaliweza box mkuu? kama unapata pesa Bongo kwa longo longo tulia hapo hapo, ukitaka kuingia USA iwe ni kwa ajili ya vaccation.
Tembeeni jamani mpate exposure sio umeganda tu Dar es salaam kama sanamu.
Wakati mwingine unatakiwa ujifunze kuliko kuandika utumbo, kwenye hii thread topic ni jimbo gani nchini Marekani linakaliwa na watanzania wengi? Jamaa kajibu Texas mimi nikamuuliza Texas sehemu gani Texas kubwa, ukafyatuka kunijibu usichokijua.Kama kitu huwelewi ni afadhali ukae kimya uache wanaofahamu wachangie, sio lazima uchangie kila kitu, Texas ndio jimbo wewe ulitaka asemeje? au unavyosoma kwenye magazeti Houston na San Antonio unadhani haya ni majimbo?
Tembeeni jamani mpate exposure sio umeganda tu Dar es salaam kama sanamu.
Kujifunza kwa kwenda Google na kufika mwenyewe lipi bora? swali la msingi ni Jimbo gani na sio sehemu gani ya Texas, kumbe haya mambo yenu ya kugoogle ndio silaha yenu ya ubishani hapa JF? now i know.Wakati mwingine unatakiwa ujifunze kuliko kuandika utumbo, kwenye hii thread topic ni jimbo gani nchini Marekani linakaliwa na watanzania wengi? Jamaa kajibu Texas mimi nikamuuliza Texas sehemu gani Texas kubwa, ukafyatuka kunijibu usichokijua.
Texas, is the second largest U.S. State by both area and population, and largest in the contiguous united states, kuna watu zaidi ya 25.milioni na kuna miji mingi tu kama vile Dallas, Austin, Houston, Louisiana, Oklahoma, Arkansas. San Antonio na mingine mingi.
Ndio nilitaka kujua hao watanzania wanakaa wapi? ndio msingi wa swali langu
Bandugu! Vaccation ni nini msaada jamaniMkuu usihadaike na video za kina 50 cents, unaliweza box mkuu? kama unapata pesa Bongo kwa longo longo tulia hapo hapo, ukitaka kuingia USA iwe ni kwa ajili ya vaccation.
Unajuwa kila kitu nilichokiandika ila najuwa unachokitafuta ni nini,..........Wewe si ndio umekejeli mtu kwamba anabaki Tanzania kama sanamu badala ya kwenda Marekani kupata exposure, kumbe exposure yenyewe kubeba maboxsi? We mwenye exposure nikuulize, "vaccation" ndio nini?
Nenda Google utapata maana yake, maana wewe ndio unachojuwa hicho.Bandugu! Vaccation ni nini msaada jamani

Kweli itakuweka huru, ipo siku utafika tu hata kwa matembezi, hakuna maajabu yanayofanyika kufika nchi unayopenda siku moja angalau uitembelee.
Mkuu, hizo data za watu 2108 umezipata wapi? Tunaomba ubandike hizo facts zako jamvini JF, sio sehemu ya porojoni hapa texas tupo 2108 pamoja na wale ambao wamezaliwa na seminationalty
Niko Bongo sasa hivi nina project za kusimamia,............. hakuna kisichowezekana, all the best on your plan.

nashukuru kwa dua zako. Natamani sana nije kufanya Master's huko.

Kama kitu huwelewi ni afadhali ukae kimya uache wanaofahamu wachangie, sio lazima uchangie kila kitu, Texas ndio jimbo wewe ulitaka asemeje? au unavyosoma kwenye magazeti Houston na San Antonio unadhani haya ni majimbo?

Tembeeni jamani mpate exposure sio umeganda tu Dar es salaam kama sanamu.
Hizo Data huwezi kuzipata Google hata siku moja, kama wewe unategemea Google kwa kila kitu pole sana, Watanzania wenyewe wanajifahamu Idadi yao kutokana na jumuiya zao kwenye Majimbo husika na kwa kupitia ubalozi, ila isipokuwa kwa wale ambao hawana mpango na mtu wapo kivyao vyao tu. sasa unaposema porojo wakati wewe hata hujui Dar es salaam ina wakazi wangapi hizi ni kejeri ambazo hazina msingi wowote.Mkuu, hizo data za watu 2108 umezipata wapi? Tunaomba ubandike hizo facts zako jamvini JF, sio sehemu ya porojo
Niko tayari kukosolewa, Tujisahihishe by JK Nyerere.

Mkuu! Ulianza vema ila umemalizia kwa tabu kidogo kwa wenye busara zao.

Texas sehemu gani? Texas kubwa
Masters ya Miezi sita na PhD ya mwaka mmoja nani anataka? Kila la heri mkuu wengine tunapiga shule huku huku kibishinashukuru kwa dua zako. Natamani sana nije kufanya Master's huko.
Umekashifu waliobaki Tanzania wamekaa kama sanamu, hawana exposure, as if huko Marekani ni mbingu ya tisa, halafu ukajitangazia kwamba mnabeba maboxsi. Khaa...! Yani mnapata exposure ya kubeba maboxsi? Unatoa kashfa kwa ambao hawajaenda Marekani kumbe unabeba maboxsi?Unajuwa kila kitu nilichokiandika ila najuwa unachokitafuta ni nini,..........
Hakuna mtu asiyejuwa ni nini maana ya kupiga box,
Exposure haipatikani tu kwa mtu kwenda kwenda kwenye nchi nyingine na kufanya kazi, unaweza kwenda kwa matembezi/ mapumziko, honeymoon n:k
Kuna ubaya wowote kumjulisha mtu kwamba kwenye nchi hizo maisha sio rahisi kama ambavyo wengine wanafikiri? na kuna ubaya gani kumwambia mtu kama Bongo anaingiza kipato fulani cha kulizisha Bongo ni sehemu nzuri zaidi ya kuishi?
Mwisho tuna jukwaa la lugha karibu sana kule utufundishe lugha maana wewe mwenzetu ni mungu hujui typing error.
View attachment 36505
Utakuwa umefanya jambo la maana sana, na ninaahidi kumpa ticket ya bure kutoka kwenye milleage zangu za Swiiss International, maana angalau atakuwa busy.

Sasa muuliza swali ameuliza jimbo gani we unataka niainishe miji hapa sijui hawa watu wa takwimu wamehesabu kwa miji au ni texas yote sisi hapa katika kitongoji ambacho tangu uzaliwe ujawahi kufika wala kusikia monroeville tupo waafrika 217 yani wanaija,somalia,tz,sa,tunisia,kenya,sudan,comoro sasa ukitaka tuweke list ya miji sio swali la msingi mkuu njoo huku nikupe kazi ya kupanda na kuvuna maua kwa mcanada
Kijana ifikie mahali ukubali kukuwa, kupiga box ni msemo tu uliozoeleka wapo watu wakila aina ya Fani kutoka Tanzania na wanafanya kazi za fani zao.Umekashifu waliobaki Tanzania wamekaa kama sanamu, hawana exposure, as if huko Marekani ni mbingu ya tisa, halafu ukajitangazia kwamba mnabeba maboxsi. Khaa...! Yani mnapata exposure ya kubeba maboxsi? Unatoa kashfa kwa ambao hawajaenda Marekani kumbe unabeba maboxsi?
Hadithi ya sizitaki mbichi hizi,..........Masters ya Miezi sita na PhD ya mwaka mmoja nani anataka? Kila la heri mkuu wengine tunapiga shule huku huku kibishi