Ni Jambo Gani Liliwahi Kukufedhehesha??

Nina mengi sana,lakini kubwa kuliko ni pale mtu niliyemkuta kazini ana kama miaka ishirini ya utumishi alipokataa mimi kuwa bosi wake na kuamua kwenda kwa mkurugenzi kunishitaki kuwa nimeonekana nikifanya mapenzi na mwanamke kwenye uwanja wa mpira saa sita mchana,kisa hicho licha ya kunifedhehesha ila kilinikost post yangu na nikazawadiwa demotion japo ilikuwa ni majungu...
 
Nilikua nabembea kwny mti,ile kudunda chini na kwenda juu c nikapitiliza? Kurudi chini nikashikwa luks ya kaptula nikabaki nabembea KALIO juu, mikono na miguu haigusi chini. Wenzangu mbavu hapana na msaada nikaukosa hadi kaptula ilipobaki mtini ndio nikadondoka kama pakacha na kuanza kuutafuta upenyo wa kurudi home MTUPU. Hadi leo naiheshimu miti.
 
siku moja natoka washrum kumbe sikuangalia vizuri, skirt ikaiwa imejichomeka kwenye skin tight, ile natoka kumbe kuna wazee wamekaa jirani na washrum wakaniona bana. weee nilifedheheka kweli,bahati nzuri nilikuwa nimevaa skin tight kwa ndani. sipati picha isingekuwepo waneona b.i.k.i.n.i ndan ya t.a.k.o
 
Mimi tukio ambalo lilinifedhehesha na sitakaa kulisahau ni lile la kulewa kupitiliza mpaka nikaingia ktk chumba cha Baba Mkwe Mtarajiwa (mama mkwe alikuwa night shift kazini) na kujitupa kitandani.
Asubuhi ilipofika na pombe yote imenitoka,ile nainuka kitandani tu nashangaa kuwaona Mashangazi,Mama Mkwe,Shemeji zangu,Mchumba wangu na Majirani wamejaa wananishangaa pale kitandani.
Ile siku sitaisahau milele maana nilivua nguo usiku wakati napanda kitandani.
Ila namshukuru Mungu,
Nilikataa kuolewa na yule Mchumba ili kuifuta ile Aibu.
Ila Mpaka Leo nimejifunza Kunywa kwa Adabu na Huyu niliekuwa nae.

pole sana, kunywa kistaarabu
 
Nina mengi sana,lakini kubwa kuliko ni pale mtu niliyemkuta kazini ana kama miaka ishirini ya utumishi alipokataa mimi kuwa bosi wake na kuamua kwenda kwa mkurugenzi kunishitaki kuwa nimeonekana nikifanya mapenzi na mwanamke kwenye uwanja wa mpira saa sita mchana,kisa hicho licha ya kunifedhehesha ila kilinikost post yangu na nikazawadiwa demotion japo ilikuwa ni majungu...

duuuh pole mkuuu, maisha ndio yalivyo
 
Nilikua nabembea kwny mti,ile kudunda chini na kwenda juu c nikapitiliza? Kurudi chini nikashikwa luks ya kaptula nikabaki nabembea KALIO juu, mikono na miguu haigusi chini. Wenzangu mbavu hapana na msaada nikaukosa hadi kaptula ilipobaki mtini ndio nikadondoka kama pakacha na kuanza kuutafuta upenyo wa kurudi home MTUPU. Hadi leo naiheshimu miti.

hahahahaahaa mbavu zangu mie
 
siku moja natoka washrum kumbe sikuangalia vizuri, skirt ikaiwa imejichomeka kwenye skin tight, ile natoka kumbe kuna wazee wamekaa jirani na washrum wakaniona bana. weee nilifedheheka kweli,bahati nzuri nilikuwa nimevaa skin tight kwa ndani. sipati picha isingekuwepo waneona b.i.k.i.n.i ndan ya t.a.k.o

na wazee wa siku hizi hawana dogo
 
Mussolin
kaka kimsingi mie kupalamia miti kama nyani kumenitenda ka2 sitosahau. Siku nyngne niliangukia kiuno toka mtini nikapgwa bonge la USINGIZI utamu wake cjapata kuona a.k.a KUZIMIA hadi nilipoamshwa na wapita njia waliokua wanatoka church.
 
Kuna siku nikiwa form 2 niliugua tumbo ghafla nikiwa shule,nikaomba ruhsa kwenda home kwa bahati mbaya nikiwa njiani nikashindwa kujizuia nikajiharishia nikiwa njiani,
 
Mi ninazo kadhaa. Moja nilialikwa kwenye dinner kwa family friend. Nikafakamia mapochopocho weee kitambo kidogo nature calls mrembo nikajimwaya msalani....hasa ubaya choo yenyewe iko usawa na dining room na sitting area....lakini tumbo halina muhamana maana unajihisi umemaliza kumbe bado ilinikosti kama dk 30 kumaliza. Ishu ilikuja ktk kufungua mlango wa choo fungua na kufungua haufunguki. Daah nilihisi ka kiama vile ukizingatia nilikuwa du wakati huo halafu kuna mkaka wa hiyo familia nilikuwa namzimikia afu nae dizaini alikuwa bishoo.
Basi binti ikabidi nimute msalani liwalo na liwe...wenyeji wakaingia shaka ikabidi wagonge kuuliza ndio hapo nikawaeleza...juhudi za kuvunja kitasa zikafanywa na to make matters worse kijana tozi ndio aliyeongoza zoezi hilo....hata! niliona noma mnoo
 
Basi binti ikabidi nimute msalani liwalo na liwe...wenyeji wakaingia shaka ikabidi wagonge kuuliza ndio hapo nikawaeleza...juhudi za kuvunja kitasa zikafanywa na to make matters worse kijana tozi ndio aliyeongoza zoezi hilo....hata! niliona noma
mnoo

Kishuzi katikati ya safari mko peke yako na dreva wako.....(Grrrrrrrrrrr) ilibidi nipige simu na kuongea toka ubungo hadi posta mfululizo kupotezea....(Grrrrrrrrrrrrr)
 
Mi ninazo kadhaa. Moja nilialikwa kwenye dinner kwa family friend. Nikafakamia mapochopocho weee kitambo kidogo nature calls mrembo nikajimwaya msalani....hasa ubaya choo yenyewe iko usawa na dining room na sitting area....lakini tumbo halina muhamana maana unajihisi umemaliza kumbe bado ilinikosti kama dk 30 kumaliza. Ishu ilikuja ktk kufungua mlango wa choo fungua na kufungua haufunguki. Daah nilihisi ka kiama vile ukizingatia nilikuwa du wakati huo halafu kuna mkaka wa hiyo familia nilikuwa namzimikia afu nae dizaini alikuwa bishoo.
Basi binti ikabidi nimute msalani liwalo na liwe...wenyeji wakaingia shaka ikabidi wagonge kuuliza ndio hapo nikawaeleza...juhudi za kuvunja kitasa zikafanywa na to make matters worse kijana tozi ndio aliyeongoza zoezi hilo....hata! niliona noma mnoo

unapenda matozi kumbee? lol
 
siku moja natoka washrum kumbe sikuangalia vizuri, skirt ikaiwa imejichomeka kwenye skin tight, ile natoka kumbe kuna wazee wamekaa jirani na washrum wakaniona bana. weee nilifedheheka kweli,bahati nzuri nilikuwa nimevaa skin tight kwa ndani. sipati picha isingekuwepo waneona b.i.k.i.n.i ndan ya t.a.k.o

unavaa bikini ofisini?
au?
 
Kishuzi katikati ya safari mko peke yako na dreva wako.....(Grrrrrrrrrrr) ilibidi nipige simu na kuongea toka ubungo hadi posta mfululizo kupotezea....(Grrrrrrrrrrrrr)

Gari haina Redio?
Redio ndo nzuri we unaongeza tu sauti halafu wajiachia lol
 
Back
Top Bottom