Ni jambo gani hautalisahau katika mwaka 2011

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
kama vile ndoto mwaka 2011 unaishia na tunaungoja mwaka 2012 lakini jambo gani hautakaa ulisahau katika mwaka huu unaoishia
 
Kugongwa na gari Tar. 25/10/2011 na kuvunjika mkono.............Duh, hivi nitalisahau kweli hili tukio!
 
Kuzama kwa MV Spice Isalnder ambayo ilinikumbusha machungu ya tukio la 1996 nilifiwa na wazazi na ndugu zangu wengi sana.
 
Mapema mwezi feb nilipata ajali bas nlilokuwa nikisafiria lilipinduka kama haitoshi mwezi wa sita nlipata jali nyingine.namshukuru Mungu i'm alive!
 
Mapema mwezi feb nilipata ajali bas nlilokuwa nikisafiria lilipinduka kama haitoshi mwezi wa sita nlipata jali nyingine.namshukuru Mungu i'm alive!

Mshukuru sana aise Maana bila yeye sisi si kitu
 
Ajali ya MV spice na Five star...jaman haya matukio sitayasahau, nlipata picha kwamba ingekuwa ni mimi niko katikati ya bahari tena juu ya godoro nikakosa jibu kabisa,!!!Asante Mungu kwa ulinzi ulionipatia japo changamoto pia nilikutana nazo
 
I got sick and I was unconscious for two weeks. I was suffering from hypertention. Thank God I'm ok!
 
Back
Top Bottom