Ni ishara zipi nyingine kwa mwanamke zinazoonyesha kujutia kosa tofauti na kulia?

nzedanze

Member
Jul 13, 2011
44
1
Habari zenu mabibi na mabwana? kweli hapa jamvini kunavitu vingi sana nimevipata kutokana na michango yenu kwenye topic au maswali mbalimbali ninayo uliza sasa kunakitu kimoja kinanichanganya sana nacho ni;
Wanawake mara nyingi sana hulia machozi kama ishara ya kujutia kosa....lakini nimekuja kubaini kumbe wengi wao hua wanaigiza tu.....Je kunaishara nyingine tofauti amabazo naweza kuziangalia kwa mwanamke anayejutia kosa na kunifanya niamini ni kweli anatubu,maana hii ya kulia naona ni uchakachuliwaji tu
 
huwezi kuusemea moyo wa mtu....inawezekana anamaanisha au hamaanishi.....
 
Ukimuona kabadilika tabia yake imekua nthuri ujue ndio kile kilio au huzuni alokua akionyesha kwenye sura yake na kukosa raha ujue alikua anajutia kosa lake.
 
Ukimuona kabadilika tabia yake imekua nthuri ujue ndio kile kilio au huzuni alokua akionyesha kwenye sura yake na kukosa raha ujue alikua anajutia kosa lake.
ok ni sawa lakini kubadilika hayo ni matokeo ya baadae sasa mm nataka kujua wakati huohuo akiwa anaomba msamaha Je huko anamaanisha au ananizuga tu...ndo shida yangu
 
Unakuwa mpole kuliko kiasi, na siku hiyo mkiwa faragha atajituma mpaka utashangaa
 
imani bila matendo imekufa,na maneno matupu hayavunji mfupa. angalia matendo yake tu.machozi ni bioogical factor manake kuna watu hata wawekewe pilipili machoni hawalii!
 
majibu yote yako apo ju isipokuwa (Unakuwa mpole kuliko kiasi, na siku hiyo mkiwa faragha atajituma mpaka utashangaa)
 
Back
Top Bottom