Ni ipi hatua nzuri ya kuchukua baada ya kumfumania mkeo/ mumeo kwa mara ya kwanza?

mwambie aondoke nae na aolewe na huyo mgoni ni hivyo tu..ila itauma kimtindo baada ya siku 2 au 3 unazoea ni hayo tu..
 
Kama ujitumi katika mambo mbalimbali, zaidi kwenye sita kwa sita ni mgogoro mkubwa. Sometimes maumbile yanaweza sababisha. Mfano wwanawake wanapenda kuzibwa na kuchokonolewa ndani, kama mtambo ni mwembamba na mfupi ni kama unamwekea kidole.


pweeehh, umeongea madudud matupu.
 
Habari zenu wana JF, Naomba kuwaulizeni, iwapo umemfumania mkeo/ mumeo na ni mara ya kwanza ni hatua gani nzuri unatakiwa kuichukua. Ni kupokea fidia kutoka kwa MGONI kisha maisha yaende kama kawaida, kuwasamehe wote wawili, kuvunja uhusiano? Au hatua ipi unaona inafaa?

Binafsi upande wangu ndoa inakuwa imefia hapo. Nawasilisha!

Mkuu sasa ikiwa hatua umeshaijua ya nini kuuliza? kila mtu anajua hatua yake na haiwezi kubadili hatua yako utakayoichukua.
 
Mkuu sasa ikiwa hatua umeshaijua ya nini kuuliza? kila mtu anajua hatua yake na haiwezi kubadili hatua yako utakayoichukua.

Binafsi limenitokea na huo ndio uamuzi niliouchukua lakini nimelaumiwa na baadhi ya watu ndio maana nikataka kujua kutoka kwa wengine mitizamo yao juu ya jambo kama hilo. Kikubwa kilichonifanya nichukue uamuzi wa kuachana nae ni kuwa kila mara ninapokuwa nae namkumbuka yule jamaa. Halafu kinachoniuma zaidi jamaa alikuwa anakuja kumuuzia nguo pale nyumbani karibu kila siku sasa siju ka...... mara ngapi!
 
Fumanizi alina maandalizi. Waweza kujiandaa kutoa kichapo ukafika eneo la tukio ukaangua kilio badala ya kutembeza kipigo. Kwa hiyo subiri ya kupate solution utaipata on the sport.
Nahisi ni vizuri kuwa na maandalizi mapema iwapo itatokea ujue jinsi ya kutatua. Inapendeza uwe na Rules zako kwamba nikikufumania nakuacha au .... au mpaka nikufumanie mara mbili....... Kuna watu wanafumania mpaka mara saba wako kimya tu!
 
Back
Top Bottom