Ni hospitali ya mkoa Kilimanjaro

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Baada ya kukosa chumba cha upasuaji kwa zaidi ya mwaka na wagonjwa kuteseka sasa limeibuka jipya la kutokuwa na hata nyuzi za kushonea wakina mama wanaojifungua na kuchanika ama kuongezwa njia! Serikali haijaleta pesa haya ni majibu ya watoa huduma. Kina mama wanalazimika kununua nyuzi. Je, Serikali iliyosema huduma bure kwa kina mama iko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom