Ni hii Business ndo inayowapendesha hivi??!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Kuna jambo huwa najiuliza kila siku niwaonapo hawa DADA zangu wanofanya biashara ndogondogo kama kuuza KARANGA, PIPI, NDIZI, MAJI, SIGARA n.k

Utawakuta Wamejipodoa sana (CREAM), NYWELE zimepitia SALUNI, Nguo za KUTEGA na simu ya BEI ghali sana!!!

Hivi hizo pesa wanazopata kwenye hizo biashara zao zinawatosha kufanya mambo yote haya??!!
 
we unafikirije jibaba?
mi nishawahi kununua sinia zima la ndizi nipate wasaa wa kimwana
 
hizo ni biashara za mchana ambazo anataka jamii imhusishe nayo,nenda kona bar/kino makaburini/ohio/sewa buguruni usiku kama hujamkuta kwenye biashara ingine.Sio wote lakini.
 
avatar16123_26.gif

Toka lini Masa amekuwa kijana hivi?Huu ni uchakachuaji wa mchana!!
 
Thanks Lizzy,waelimishe sifa za kweli za mwamume anazoruhusiwa kusema in public ndo kama hizo........unamkuta mtu kwenye hali ya chini unamsaidia kwenda kwenye hali bora zaidi si kununua sinia ambalo hatujui hata lilikuwa na ndizi ngapi na zikiuzwa kwa shilingi ngapi ili huyo msichana awe na hivyo vitu vya thamani ambavyo mtoa hoja kavisema hapo....alafu unajua si sifa kupewa k........ hujui wamepita wangapi,pengine hata wanaonunua ndizi moja anawapa.........LOL kama hilo sinia lilivyo cheap na huyo mwanaume ndo alivyo cheap..am sorry!
Hehehe si mwenyewe anaona sifa kulipia sinia moja badala ya kumUpgrade!
 
Duh!!Tatizo wengine hawasadiki dada yangu!!
ukimsaidia ndo ataanza kukufikiria tofauti!!

Thanks Lizzy,waelimishe sifa za kweli za mwamume anazoruhusiwa kusema in public ndo kama hizo........unamkuta mtu kwenye hali ya chini unamsaidia kwenda kwenye hali bora zaidi si kununua sinia ambalo hatujui hata lilikuwa na ndizi ngapi na zikiuzwa kwa shilingi ngapi ili huyo msichana awe na hivyo vitu vya thamani ambavyo mtoa hoja kavisema hapo....alafu unajua si sifa kupewa k........ hujui wamepita wangapi,pengine hata wanaonunua ndizi moja anawapa.........LOL kama hilo sinia lilivyo cheap na huyo mwanaume ndo alivyo cheap..am sorry!
 
Tunawasaidia,we hujui tu vijana wangapi tumewapa mitaji na kuwapangishia nyumba hapa mjini.mi tayari wawili na nikikutana na mwingine anaye-worth ntampa mtaji.

Jaman mbona wakaka wenye hizo business hamuwasaidii nyie wadada wawe na maisha bora??!!
 
Unawapangishia na kuwapa mitaji kama kujitolea au unalea??!!

Tunawasaidia,we hujui tu vijana wangapi tumewapa mitaji na kuwapangishia nyumba hapa mjini.mi tayari wawili na nikikutana na mwingine anaye-worth ntampa mtaji.
 
Tunawasaidia,we hujui tu vijana wangapi tumewapa mitaji na kuwapangishia nyumba hapa mjini.mi tayari wawili na nikikutana na mwingine anaye-worth ntampa mtaji.

Natakiwa kuwa na sifa zipi ili nami uniongezee mtaji Michelle?
 
Jaman mbona wakaka wenye hizo business hamuwasaidii nyie wadada wawe na maisha bora??!!
Sisi si hua mnatuitaga viumbe duni wakati mwingine?Ka tu duni hatuwezi kuwezesha ila tunakaribisha kuwezeshwa!Alafu mwamaume mwingine kusaidiwa na mwanamke anaona kama atapoteza uanaume wake!
 
Sasa pls tell me kwahiyo hawa wadada hiyo pesa inawatosha kudu mambo yote haya??!!

Sisi si hua mnatuitaga viumbe duni wakati mwingine?Ka tu duni hatuwezi kuwezesha ila tunakaribisha kuwezeshwa!Alafu mwamaume mwingine kusaidiwa na mwanamke anaona kama atapoteza uanaume wake!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom