Ni Heri Utafunwe na Kansa kuliko kutafunwa na Dhambi ya Damu ya watanzania wasio na atia.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Dhambi mbaya tena mbaya sana,heri utafunwe na Kansa ikikumaliza inakumaliza peke yako,lakini dhambi inafata kizazi hadi kizazi.
Yanayotokea ni Dhambi ya waliondoka duniani kwa Maslah ya wachache.Yanajulikana na kama mliopewa madaraka hamtarudi nyuma na kutubu kamwe Tanzania haitakuwa salama.Ametekwa Dr ulimboka,waliohusika mpaka leo ni sinema,ametekwa juzi mwanasheria wa Nemc kapgwa wahusika hawajakamatwa,jana meli imezama kwa uzembe wa wachache,Meli haina hata ofisi,watu hawajasahau Nungwi limekuja hili,Hii Tanzania nani kairoga?
Damu za watu zinakwenda wapi? Kwanini watu wapate shida na mateso kwa maslah ya wachache,

Ni heri kansa kuliko DHAMBI YA UBAGUZI,UONEVU NA UHAI WA MTU.
 
Back
Top Bottom