Ni heri nife mapema kabla ya kushuhudia ushoga unahalalishwa tanzania

kinganola

Senior Member
Aug 16, 2011
117
30
Ni kauli na Dr Sengondo mvungi mhadhiri wa chuo kikuu cha UDSM aliyo itoa hivi punde baada ya kubainika kuwepo kwa shinikizo kutoka UK kuitaka TZ kuruhusu ndoa za jinsia moja...
 
Kwa upande wangu,nawiwa kusema kwamba,kwa nature ya viongozi tulio nao hapa TZ,kuna dalili za kuja kuafikiana na hawa wa UK na tukahalalisha ushoga,Nasema hivi kwasababu Tanzania tupo katika Neo Colonoalism kwa wale wasio jua,tupo kwenye ukoloni mambo leo,Tunafanya vitu kwa mashinikizo ya wazungu ati kwa kuwa wanatusaidia na hii yote inatokana na vimbelembele vya viongozi wetu wa Tz kujikomba kwa wazungu,kila siku mko ziarani ulaya,sasa angalia hili ambalo wa UK wametuomba,ni aibu kwa kweli...
 
Mwambie akajinyonge fasta. Kwani jana hakuona ndoa ya wawili wale kwenye televisheni.??
Na honey moon wanaenda arusha.
 
ukilifikiria kwa kina,hili swala lina tafsiri mbaya sana,kwa kweli ninawiwa kusema nimetokea kuwachukia wa UK na sijui kama nitalisahau kirahisi hili,hii inatoa picha gani?,wametuonaje watanzania hasa sisi wanaume?,ina maana ametutamani waje watuchumbie?,maana mi sidhani kama kweli sisi tunashida ya kuoana wanaume kwa wanaume au wanawake kwa wanawake,kweli wamefiia hatua hii?,wa TZ wenzangu amkeni tuukatae ufirauni huu,hata kama ni umasikini,sio kiivyo.
 
Tanzania Mungu ametupa kila kitu,madini,bandari,ardhi yenye rutuba,vivutio bya utalii n.k,kwa nini tunyanyaswe jamani?,kweli umasikini upi tulio nao?,viongozi wetu chonde chonde na David Cameroon,mwambieni hapo ametushika pabaya,HAIWEZEKANI MAISHA...
 
Mwambie akajinyonge fasta. Kwani jana hakuona ndoa ya wawili wale kwenye televisheni.??
Na honey moon wanaenda arusha.
Lol...mkuu nilipata shida kukuelewa na nilivyokuelewa nimecheka kwa loud speaker!
 
Tanzania Mungu ametupa kila kitu,madini,bandari,ardhi yenye rutuba,vivutio bya utalii n.k,kwa nini tunyanyaswe jamani?,kweli umasikini upi tulio nao?,viongozi wetu chonde chonde na David Cameroon,mwambieni hapo ametushika pabaya,HAIWEZEKANI MAISHA...
Viongozi wepi hao mkuu? Hawa hawa wahongwa suti au kuna wengine?
 
Ni kauli na Dr Sengondo mvungi mhadhiri wa chuo kikuu cha UDSM aliyo itoa hivi punde baada ya kubainika kuwepo kwa shinikizo kutoka UK kuitaka TZ kuruhusu ndoa za jinsia moja...

Mnafiki ana Degree ya Sheria, hajaishi Nje ya Tanzania??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom