Ni heri kutoa kuliko kupokea.

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Haya ni maneno ya Biblia.
Naona malalamiko mengi kwenye mapenzi ni ..ooo ananichuna... oooo mme ka mwanamke.
Pia na nyie wote mnaopenda kupokea tu sio vizuri jamani. Biblia imekataza.

Ni hayo tu nilitaka kutoa moyo kwa tunaotoa tusifadhaike maana imeandikwa ni heri yetu.
 
Kwa mke na mume labda sawa, please msihusishe vitabu vya dini kwenye mahusiano GF na BF ambayo hayakubaliki kidini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom