Ni hatari kufanya ardhi kuwa mali binafsi tanzania

ba nso

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
668
225
Ndugu wanajukwaa, ardhi kwa Tanzania ni mali ya umma (yetu sote) na ipo chini ya usimamizi wa Rais. Mtu akipatiwa kipande cha ardhi, anapata haki ya kukitumia kwa muda usiozidi miaka 99. Nionavyo mimi huu utaraibu ni mzuri sana mana unatuepusha maskini kugombea ardhi na matajiri ambao wangenunua ardhi yote na kutufanya sisi wapangaji wao, kama ilivyo kazi maskini kua na nyumba kenya na kwingineko.

Je wanasheria na wadau mwaonaje kuhusu utaratibu huu? ubadilishwe ili ardhi iwe mali binafsi?
 
Fafanua "wadau" ndio nani kabla sijachangia zaidi.
 
Jogi, mdau ni mtu yeyote anayeona jambo hili linamuhusu na anaweza lizungumzia. Na hapa ni kila mtanzania. karibu tafadhari.
 
Back
Top Bottom